root simu yako au kama bado Download GalaxyS2/rooting/GalaxyS2RootNew.zip at DownloadAndroidROM.com download hii kisha install kies link hii http://downloadcenter.samsung.com/content/SW/201406/20140602115430611/KiesSetup.exe kisha open hyo rootfile kisha open runme.bat acha imalize simu yako tayari iko rooted kisha allow superuser then download hii attachment kisha open EFS-BACKUP for any question during the process press Y then enter kisha tayari check your baseband
imei ni null au inatoa manamba namba mengi yasioeleweka?
kama kuna manamba namba mengi unaweza kusolve kirahisi ila kama ni null sijaona permanent solution kuna try and error nyingi tu.
pia jamaa hawa wa box kina octopus na wenzao wanaclaim box zao zinarepair hilo tatizo

ulishasolve tatizo lak?. Nilishawahi kuifanya simu yangu S2 kama hivyo. Fundi mmoja alitaka kunila laki na ushehe na nashukuru Mungu alishindwa. Nilijaribu vitu vingi, at last nilifanikiwa kuwrite product code without hizo box. Ila box ni the easiest (but can be costly) way kama unajua mtu anayo. And am sure huna network kwa sasa. Kama ndivyo kuna vitu lazima ufanye, mi nilifanya.imei ni null chief....how can we solve this?
ulishasolve tatizo lak?. Nilishawahi kuifanya simu yangu S2 kama hivyo. Fundi mmoja alitaka kunila laki na ushehe na nashukuru Mungu alishindwa. Nilijaribu vitu vingi, at last nilifanikiwa kuwrite product code without hizo box. Ila box ni the easiest (but can be costly) way kama unajua mtu anayo. And am sure huna network kwa sasa. Kama ndivyo kuna vitu lazima ufanye, mi nilifanya.
Nenda kwenye hii thread ila hakikisha unafanya hivi ukiwa umeflash officia rom/Firmware yoyote hata kama ni latest.
RESTORE IMEI and Product Code w/o ADB, PC (A⦠| Samsung Captivate | XDA Forums
Hiyo thread alitumia galaxy s kwa hiyo hata code yake ni tofauti na galaxy sII. Wewe utatumia code za galaxy sII (ambazo ni I9100 kwa international version, yangu ilikuwa ya AT&T I777...)
Unaweza kusoma baseband inasomaje?nimeifix but nw inaleta na kupoteza iyo baseband,in other words haiko stable,what should i do a make it stable!?
baseband ni i9100UHMS1 Mkuu...na nikijaribu kuiflash kwa official rom cm haisomi kwny odin so nashindwa iflashUnaweza kusoma baseband inasomaje?
Then try the following.
1. Kama umeroot na una custom recovery, na simu yako ni international version galaxy s2 (I9100), then download and flash modem kwenye link hii Dev-Host - modem_XXMS3.zip - The Ultimate Free File Hosting / File Sharing Service au
2. Backup efs file yako (imei) kwa kutumia [TOOL] Updated! 26/06/14 - EFS Professional ⦠| Samsung Galaxy S II I9100 | XDA Forums , then flash latest official firmware tena kwa kutumia guide hii hapa [GUIDE][ICS/JB] 26/12 - Flash Stock firmware⦠| Samsung Galaxy S II I9100 | XDA Forums