Line ni ya zamani sana mkuu.. kikaratasi chake kimeshafariki...
Ok master, thanks for your adviceKama vielelezo ulivyotumia wakati wa kusajili line bado unavikumbuka basi wapigie customer care watatatua tatizo lako bila wasi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanzo ilikuambia "Inter pin"Hello waungwana...!!!
Nimewrong kublock line yangu ya simu(tigo), So until this time siko hewani.
Simu imeandika " PIN blocked, enter PUK"..
Sasa nimembwera wakuu hata sijui la kufanya na hii namba ndo nilikuwa naitumia kuongea na watu kwa ajili ya shughuli zangu za kujipatia ridhiki..
Yeyote mwenye utaalamu naomba anielekeze namna ya kuovercome hii issue.
Sawa mkuuMwanzo ilikuambia "Inter pin"
Wewe ukawrong pin mara tatu
Ukablock pin. Sasa inakutaka uingize "PUK".
Chakufanya azima simu ya jirani yako hapo anayetumia mtandao wako huo, piga huduma kwa wateja, waombe hizo PUK, kuna maswali mawili matatu ya kujibu kisha watakutajia...
Kuwa mwangalifu ukiendelea kuingiza wrong puk utaiblock line, na hapo utaihitajika kuswap namba yako..
Sent using Jamii Forums mobile app