fellaz mambo vipi mbona my qsat 23 aionesi supersport 3,superspot 7 na 9 yan zile station za mpira............-
ok - .........................KARIBU
- Inaonyesha , Fanya hivi
- Weka/fungua SNW ili kupata ss3
- Na fungua S5N ili kupata ss5
KARIBU
- Inaonyesha , Fanya hivi
- Weka/fungua SNW ili kupata ss3
- Na fungua S5N ili kupata ss5
vp kuna software mpya ya Qsat q11g haioneshi supersport zote
weka tv1 CCcam wewe
njia rahisi ya kuweka cline katika receiver yako ni kwa kutumia CCcam.cfg file ambalo kama unatumia dreambox unaweza kulichukua kutoka huko....
Kama hauna ukinunua CCcam kutoka kwa geek kama ntakupatia acc yako katika format ya CCcam.cfg file
Njia kuingiza acc hiyo soma hapa Njunwa Services Dongle updates