Naomba msaada Projector aina ya Sony Svga vpl-es7 hai display

Naomba msaada Projector aina ya Sony Svga vpl-es7 hai display

Hakikwanza

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2010
Posts
4,055
Reaction score
1,024
Jamani naombeni msaada projector aina ya sony ukiunganisha kwenye umeme inawaka taa nyekundu tu kwenye switch button na hakuna kitu kinacho endelea,fani hazizunguki pia. Jamani naombeni msaada, Natanguliza shukrani zangu za Dhati
 
Back
Top Bottom