Naomba msaada nitengeneze website kama hii

Gulio Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
3,383
Reaction score
7,980
Habari za siku
Mimi sina ujuzi wa haya ila kutokana na changamoto iliyojiteza nyuma sitoizungumzia hivyo naona inanilazimu nitengeneze mimi mwenyewe hii website ndo mana nimekuja hapa nahitaji msaada wenu wa maelezo yatakayonisaidia nitengeneze mimi mwenyewe iwe inamuonekano kama huu
Premium Osclass Themes
 
Lipia iyo theme, kisha upload kwenye website yako. Customize according to your needs na uendelee, kama hutaweza mlipe mtu akufanyie hayo yote niliyoyasema.
Simple as that
 
Nachohitaji nipate maelezo step by step kuanza kuitengeneza tokea mwanzo wa website ambayo bado sitatengeneza mpaka kuja kununulia theme
 
Ni rahisi, kwa kuanzia naamini una domain name na una web space kwa ajili ya kuhost website yako
Kama huna hiyo ndio itakuwa hatua ya kwanza.

1. Nunua/lipia domain name kutoka wauzaji wowote ambao unaona wana gharama nafuu, .tz uwa ni 25k tsh na .com unaweza pata mpaka kwa senti 99 za kimarekani. Ukishanunua domain name

2. Lipia web hosting ambae ataendana na mahitaji yako. Kisha point domain name yako kwenye webhosting uliyo nunua/lipia.

Ukiwa umekamilisha ivyo sasa ndio mengine yanafuata

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Host za kibongo nasikiaga ni mizinguo kati ya godaddy au namecheap unanishauri nitumie ipi
 
Sijui mahitaji yako ni yapi mkuu
 
Steps ni kama ifuatavyo;
1.Nunua domain name
2.Nunua hosting space

Ushauri unaweza kununua kwa host wa hapa Tanzania au nje.Ila ni vyema hosting na domain name ukanunua kutoka kampuni moja.Hii itakuepushia usumbufu wa kulink domain name na hosting.Ukinunua kutoka kampuni tofauti itakubidi ulink name servers za host wako na domain.

Baada ya hapo kinachofuta ni kuinstall osclass kwenye server yako kupitia cpanel.Hapa kuna njia mbili
1.kupitia default installers kwenye cpanel ambayo ni rahisi ,mfano wa installers ni softiculous,Single click inafanya installation yote ya osclass

2.Kufanya manual installation kama server yako haina installers.Hapa lazima uwe na zip file ya osclass,create database, create user,link user and database together. Kisha upload zip file kwenye root directory.Start your domain name in browser,enter database name and passwords kisha endelea mbele ,maliza installation.

Osclass zip file inapatikana kutoka kwenye official web ya osclass (osclass.org)

Osclass wanatoa default theme ambayo ni bender theme.Ukitaka kubadilisha unabidi ununue theme nyingine.
Kuupload new theme njia rahisi ni kwenda kwenye osclass dashboard>themes>Upload kisha choose file kila kitu kitaenda automatically.

Endapo utahitaji osclass premium theme ,ninazo mbili
1.Patricia theme
2.Gum theme

Kama utahitaji moja baada ya kumaliza steps hapo juu,unaweza kunicheck kupitia
0765696086

Vile vile kwa yoyote anayehitaji ushauri na Huduma kuhusu osclass unaweza kunicheck kupitia 0765696086
 
Usinunue hosting na domain name sehemu moja hii ni kwa sababu siku ukitaka kuhama host anaweza kuitumia hiyo domain name yako kukushikilia hostage.
Nunua domain sehemu wanazouza domain kama namecheap, dynadot au gandi.net wote ni wazuri na hakuna tofauti kubwa. Ukitaka kuhama host unapoint domain name yako kwa host mpya hakuna kazi ya kuhamisha domain.

Hosting kwa vile ndo unaanza unaweza kununua basic shared hosting mpaka hapo ambapo mahitaji yako yataizidi uwezo wake dreamhost, hostgator wanafaa kwa hili.

Hiyo ni theme ya Osclass ambayo ni software ya bure ya classifieds so inabidi utafute mtu afanye installation ya Osclass kwenye hiyo hosting service yako kisha weka hiyo theme ambayo unabidi uinunua for $50.
 
Naomba uzoefu wa digital ocean mkuu!!
 
Host za kibongo nasikiaga ni mizinguo kati ya godaddy au namecheap unanishauri nitumie ipi
Haina njoo nikupe service kutoka server za ukweli tena kwa bei nafuu kabisa pawahost.com
Ni rahisi, kwa kuanzia naamini una domain name na una web space kwa ajili ya kuhost website yako
Kama huna hiyo ndio itakuwa hatua ya kwanza.

1. Nunua/lipia domain name kutoka wauzaji wowote ambao unaona wana gharama nafuu, .tz uwa ni 25k tsh na .com unaweza pata mpaka kwa senti 99 za kimarekani. Ukishanunua domain name

2. Lipia web hosting ambae ataendana na mahitaji yako. Kisha point domain name yako kwenye webhosting uliyo nunua/lipia.

Ukiwa umekamilisha ivyo sasa ndio mengine yanafuata

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
kuunda website toa pesa uundiwe km hujui code hauundi hiyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom