Naomba msaada nikiwasha computer inadisplay maneno haya

Naomba msaada nikiwasha computer inadisplay maneno haya

MWEN

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2012
Posts
221
Reaction score
203
Naomba msaada nikiwasha computer inadisplay maneno haya
b8840810eaf94c46c9cbeb8608c1dfe2.jpg
 
ulibadili monitor? ulifanya nini kabla haijaanza hivyo?

hapo inamaana desktop inatoa fps au resolution kubwa kuliko ambayo monitor inaweza ku handle.

kuchange hizo input nenda kwenye desktop kisha personalization kisha kwenye display setting.

kama huwezi kufika kwenye desktop jaribu kuboot kwenye safe mode.

au tafuta monitor nyengine ufanye hivyo.
 
Nilitumia hii monitor kwenye laptop, baadaye niliporudisha kwenye desktop ndo ikawa hivyo
 
Back
Top Bottom