Naomba msaada nataka nifungue kijiwe cha kahawa

UNCOMMON LIFE

Member
May 13, 2017
59
28
kuna kaka alikuja kutoa shuhuda humu, kuna mwenzetu alimsaidia basi kakimbia, amekula hela pasipo kutekeleza kilichomfanya aombe hela.
mm nikaomba hela nifungue kijiwe cha kahawa, ili nikuze mtaji. niweze kufanya biashara kubwa zaidi.
nimechanganua kila kitu huko.
msaada wenu jamani.
asanteni sana na mbarikiwe
 
Back
Top Bottom