not found 404
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 322
- 170
Duh!!! Inamana ndo tayari ?Sasa kama positive tukusaidie nn tena mtoa mada ....ina maana hujui maana ya positive kwnye mambo ya ukimwi ??!!......
Kula vizuri Fanya mazoezi na pumzisha mwili wako..
Ni vile vimeandikwa SD STANDARD DIAGNOSIS MKUUKwanza ni kosa kisheria,kwa maana siyo mtaalamu halafu unakimbilia mambo usiyoyajua,hicho kipimo kina dk zake za kusoma, na hicho siyo mwisho labda utujuze kinaitwaje hicho kipimo
Nataka nijue kwann visome asubujiSasa kama positive tukusaidie nn tena mtoa mada ....ina maana hujui maana ya positive kwnye mambo ya ukimwi ??!!......
Kula vizuri Fanya mazoezi na pumzisha mwili wako..
Kaka kwan huwa ki mistar mingapi,yaani hapo ni positive mraba mraba kama pundamilia...siku nyingine uwe unapima kwa wataalamu wanaostahili!
Hivi vipimo vina majibu matatu yawezekana wewe umekutana na jibu la tatu ambalo ni (jibu tata) ambapo ili ujue kweli unao inatakiwa upimwe na kipimo cha aina nyingine ili kuhalalisha jibu.....Habari wana jamvi.
Naomba msaada wa haraka.
Baada ya kujipima HIV na kipimo (vile vyeupe)
Ndani ya dakik 10 ilionekana positive ila asubuhi viliweka mistari 3
(Vililala mpaka asubuhi)
Naombeni
Wataalamu wanijuze.
Mkuu naomba nikuulize swali kuhusu ukimwi may be nitapata Msaada kidogoSasa kama positive tukusaidie nn tena mtoa mada ....ina maana hujui maana ya positive kwnye mambo ya ukimwi ??!!......
Kula vizuri Fanya mazoezi na pumzisha mwili wako..
Umeona umuhimu wa ushauri nasaha eeh? ungepata ushauri kabla usingeweweseka namna hii!Kaka kwan huwa ki mistar mingapi,
Nataka nijue kwann visome asubuji
Je, ndo nipo postive au vimesoma magonjwa mengne?
Naomba kujua je iwapo muathirika wa ukimwi ambaye ameshaanza kutumia ARV je anaweza kumuambukiza mtu mwingine ukimwi? Na pia ningependa kujua iwapo mtu atapata ukimwi inachukua siku ngapi mpaka virusi kuanza kuonekana kwenye vipimo, na je pia endapo damu ya majeruhi wa ajali tuchukulie mfano wa matone mawili ya damu kama itadondokea mdomoni mwa mtu ambaye hajaathirika na wala hana mchubuko mdomoni je atapata ukimwi?uliza tu yyte mwenye uelewa atakujibu
Na ni muda gan vinasoma kwa majib sahh,Hivi vipimo vina majibu matatu yawezekana wewe umekutana na jibu la tatu ambalo ni (jibu tata) ambapo ili ujue kweli unao inatakiwa upimwe na kipimo cha aina nyingine ili kuhalalisha jibu.....
Kwaiyo nakushauri tumia kipimo kingine ile uweze kujua afya yako
Tujibun. Apa wapo wataalam kibaoNaomba kujua je iwapo muathirika wa ukimwi ambaye ameshaanza kutumia ARV je anaweza kumuambukiza mtu mwingine ukimwi? Na pia ningependa kujua iwapo mtu atapata ukimwi inachukua siku ngapi mpaka virusi kuanza kuonekana kwenye vipimo, na je pia endapo damu ya majeruhi wa ajali tuchukulie mfano wa matone mawili ya damu kama itadondokea mdomoni mwa mtu ambaye hajaathirika na wala hana mchubuko mdomoni je atapata ukimwi?