Naomba msaada namna ya kusoma kipimo hiki cha UKIMWI

Kwanza ni kosa kisheria,kwa maana siyo mtaalamu halafu unakimbilia mambo usiyoyajua,hicho kipimo kina dk zake za kusoma, na hicho siyo mwisho labda utujuze kinaitwaje hicho kipimo
Ni vile vimeandikwa SD STANDARD DIAGNOSIS MKUU
 
Habari wana jamvi.

Naomba msaada wa haraka.

Baada ya kujipima HIV na kipimo (vile vyeupe)

Ndani ya dakik 10 ilionekana positive ila asubuhi viliweka mistari 3

(Vililala mpaka asubuhi)
Naombeni
Wataalamu wanijuze.
Hivi vipimo vina majibu matatu yawezekana wewe umekutana na jibu la tatu ambalo ni (jibu tata) ambapo ili ujue kweli unao inatakiwa upimwe na kipimo cha aina nyingine ili kuhalalisha jibu.....

Kwaiyo nakushauri tumia kipimo kingine ile uweze kujua afya yako
 
uliza tu yyte mwenye uelewa atakujibu
Naomba kujua je iwapo muathirika wa ukimwi ambaye ameshaanza kutumia ARV je anaweza kumuambukiza mtu mwingine ukimwi? Na pia ningependa kujua iwapo mtu atapata ukimwi inachukua siku ngapi mpaka virusi kuanza kuonekana kwenye vipimo, na je pia endapo damu ya majeruhi wa ajali tuchukulie mfano wa matone mawili ya damu kama itadondokea mdomoni mwa mtu ambaye hajaathirika na wala hana mchubuko mdomoni je atapata ukimwi?
 
Hivi vipimo vina majibu matatu yawezekana wewe umekutana na jibu la tatu ambalo ni (jibu tata) ambapo ili ujue kweli unao inatakiwa upimwe na kipimo cha aina nyingine ili kuhalalisha jibu.....

Kwaiyo nakushauri tumia kipimo kingine ile uweze kujua afya yako
Na ni muda gan vinasoma kwa majib sahh,
Je, utata ndo mistar 3,

Au ni kwamba nnavirus bado havijaingia sawa sawa?

Je ni halal visome mpaka asubuh kupta jib

Je nin mara nyng hutokea unapokiacha kipimo kwa masaa zaidi ya sita?
 
Naomba kujua je iwapo muathirika wa ukimwi ambaye ameshaanza kutumia ARV je anaweza kumuambukiza mtu mwingine ukimwi? Na pia ningependa kujua iwapo mtu atapata ukimwi inachukua siku ngapi mpaka virusi kuanza kuonekana kwenye vipimo, na je pia endapo damu ya majeruhi wa ajali tuchukulie mfano wa matone mawili ya damu kama itadondokea mdomoni mwa mtu ambaye hajaathirika na wala hana mchubuko mdomoni je atapata ukimwi?
Tujibun. Apa wapo wataalam kibao
 
Back
Top Bottom