Naomba msaada; Mchumba hataki mimi niende kusoma

Oya.. Olewa wewe acha ujinga! Kusoma mi mwenyews nimesoma ila mpaka leo kapuku tu, maisha hayana formula, we muombe Mungu tu..
 
Habari zenu wanajamvi,

Naomba ushauri kutoka kwenu,

Mimi ni binti wa early twenties na nina mchumba ambae mpaka kwa wazazi anajulikana na Mungu akipenda mwaka huu tutaoana.

Kilichonileta hapa ni hiki kuanzia mwaka Jana nilikua nataka nianze process nirudi shule nilipomshirikisha huyu mchumba kakataa kabisa tena kaenda mbali zaidi na kuniambia siku utakayokwenda shule kata mawasiliano na mimi.

Na mimi nimemwambia mbona inawezekana kwenda chuo na mambo yote yakaendelea kama kawaida lakini bado ameshikilia uzi huohuo wa mimi nisiende chuo.

Naombeni ushauri nisimamie wapi maana najikuta nawaza nashindwa kujua ni choose ni kitu gani.

Nb: Yeye amesoma
Mshirikishe Mungu kwa kuomba juu ya hilo naamini kwake hakitashindikana kitu utapata ruhusa
 
Sorry nipo upande wake...!

√√obviously jamaa anakupenda na ukitaka ukute mchepuko wake nenda skull, asilimia nyingi wakina Dada wakiendanga kusoma huwanga wakirudi vile huwanga na nyodoo, dharau , utadhani waliendea kuchkua dharau huko skul, kwako unaona iko okey but ye kama vile yuko love ya long distance

it's much risk kumuacha girl wako vile aende kusoma kuliko girl kumuacha boy aende skul, wadada hawananga kuvumilia kukataa asee
 
Hata ingekuwa Mimi siezi kubali labda uwe hata na katoi kamoja, and mkiendaga Huko kusoma mnarudi na dharau mingi sana, halafu kujifanya hutaki tenaa std 7
 
Back
Top Bottom