Kazi nzuri ni kujiajiri tuMoja kati ya kazi za kipumbavu nilizowahi kufanya ni kuajiriwa na Jeshi la Polisi Tanzania,namshukuru Mungu nilikuja kuacha kwa kutoa notisi ya masaa 24
Mmoja wao kwamba Mm polisi?Alafu mshika dau dizain nakuona na wewe ni mmoja wao.
Hii post ya pili nakusoma unawamba upande huo!
Kwani huwezi kuwa?Mmoja wao kwamba Mm polisi?
Fani ipi? Tayari interview kafeli sababu hujui hata polisi anaenda kufanya niniNawasalimu kupitia jina kuu lipitalo majina yote.
Kesho kutwa Kuna interview ya polisi naomba mwenye uzoefu ili bwana mdogo akajaribu bahati yake.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.!
Anazimimina tu taratibuHapo itakuwa ni klabu yao.lakini hiyo ni mbaya sana maana anaweza kuanza kuwamiminia risasi pombe ikikolea.Hapo kavunja PGO
Kuna dhambi gn mm nikiwa polisi?Kwani huwezi kuwa?
Swali la kwanza polisi ni chama gani?Nawasalimu kupitia jina kuu lipitalo majina yote.
Kesho kutwa Kuna interview ya polisi naomba mwenye uzoefu ili bwana mdogo akajaribu bahati yake.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.!
Soma comment yako hapoKuna dhambi gn mm nikiwa polisi?