Naomba msaada kwa wanaojua SHERIA ZA BANK (nimeonewa)

Hii ni personal promblem na sio kosa la bank umempa mtu akuwekee pesa yako akaacha kufanya kama vile taratibu za kibank zinavyoelekeza yeye akafanya anavyojua yy mwenyewe iweje sasa uanze kuidai bank?? Huyu dada uliempa pesa zako na yy akafanya kinyume na taratibu za kibank ndoa wa kushitaki kama angekuwa ametuma kwa jina lile lile na pesa haikufika kwako hapo ndo ungeshitaki bank husika ila kwa kuwa kakosea yy mwenyewe nenda polis fungua case dhidi ya huyu dada maana ndo anajua ni nani alimtumia pesa maana alifanya kinyume na utaratibu wa kaz yake akaamua kutuma pesa kwa mtu.mwingine ama kwa bahat mbaya au makusudi.....
Wewe bora hata usinge comment. Unadhani huyo dada aliepokea hizo hela alizipokea kama mtu binafsi au alikua akiiwakilisha bank??

Ungekutana nae mitaani ukampatia hizo hela ndio Ingekua personal issue.
 
Back
Top Bottom