eskobas2016
Member
- Jul 14, 2016
- 71
- 31
Sio personal problem aisee!! Unafikiri kila kosa linalofanywa na kampuni halifanywi na watu? Ngoja tusubiri wanasheria, ila kwa ufahamu wangu wa kiasi juu ya sheria, hapo benki inawajibika. Baada ya kuwajibika ndio watadili wenyewe na huyo mhudumu waoHii ni personal promblem na sio kosa la bank umempa mtu akuwekee pesa yako akaacha kufanya kama vile taratibu za kibank zinavyoelekeza yeye akafanya anavyojua yy mwenyewe iweje sasa uanze kuidai bank?? Huyu dada uliempa pesa zako na yy akafanya kinyume na taratibu za kibank ndoa wa kushitaki kama angekuwa ametuma kwa jina lile lile na pesa haikufika kwako hapo ndo ungeshitaki bank husika ila kwa kuwa kakosea yy mwenyewe nenda polis fungua case dhidi ya huyu dada maana ndo anajua ni nani alimtumia pesa maana alifanya kinyume na utaratibu wa kaz yake akaamua kutuma pesa kwa mtu.mwingine ama kwa bahat mbaya au makusudi.....
Dada kaajiliwa na bank,so bank ndo inawajibika then wao kwa wao ndo watadili na huyo dada kama staff waoHii ni personal promblem na sio kosa la bank umempa mtu akuwekee pesa yako akaacha kufanya kama vile taratibu za kibank zinavyoelekeza yeye akafanya anavyojua yy mwenyewe iweje sasa uanze kuidai bank?? Huyu dada uliempa pesa zako na yy akafanya kinyume na taratibu za kibank ndoa wa kushitaki kama angekuwa ametuma kwa jina lile lile na pesa haikufika kwako hapo ndo ungeshitaki bank husika ila kwa kuwa kakosea yy mwenyewe nenda polis fungua case dhidi ya huyu dada maana ndo anajua ni nani alimtumia pesa maana alifanya kinyume na utaratibu wa kaz yake akaamua kutuma pesa kwa mtu.mwingine ama kwa bahat mbaya au makusudi.....
Sio personal problem hio mkuu...Hii ni personal promblem na sio kosa la bank umempa mtu akuwekee pesa yako akaacha kufanya kama vile taratibu za kibank zinavyoelekeza yeye akafanya anavyojua yy mwenyewe iweje sasa uanze kuidai bank?? Huyu dada uliempa pesa zako na yy akafanya kinyume na taratibu za kibank ndoa wa kushitaki kama angekuwa ametuma kwa jina lile lile na pesa haikufika kwako hapo ndo ungeshitaki bank husika ila kwa kuwa kakosea yy mwenyewe nenda polis fungua case dhidi ya huyu dada maana ndo anajua ni nani alimtumia pesa maana alifanya kinyume na utaratibu wa kaz yake akaamua kutuma pesa kwa mtu.mwingine ama kwa bahat mbaya au makusudi.....
Kama hujui kitu bora utulie kimya...kwani bank ni majengo na jina au ni watu?Hii ni personal promblem na sio kosa la bank umempa mtu akuwekee pesa yako akaacha kufanya kama vile taratibu za kibank zinavyoelekeza yeye akafanya anavyojua yy mwenyewe iweje sasa uanze kuidai bank?? Huyu dada uliempa pesa zako na yy akafanya kinyume na taratibu za kibank ndoa wa kushitaki kama angekuwa ametuma kwa jina lile lile na pesa haikufika kwako hapo ndo ungeshitaki bank husika ila kwa kuwa kakosea yy mwenyewe nenda polis fungua case dhidi ya huyu dada maana ndo anajua ni nani alimtumia pesa maana alifanya kinyume na utaratibu wa kaz yake akaamua kutuma pesa kwa mtu.mwingine ama kwa bahat mbaya au makusudi.....
Hiyo sio personal issue, huyo dada ni muajiriwa wa bank na yupo hapo kwa niaba ya bank hivyo bank wana kila sababu ya kuwajibika. Refer: Kesi ya Dk.Magu na ile meli ,serikali ilibidi ilipe kwa sababu Magu alifanya kwa niaba ya serikali.Hii ni personal promblem na sio kosa la bank umempa mtu akuwekee pesa yako akaacha kufanya kama vile taratibu za kibank zinavyoelekeza yeye akafanya anavyojua yy mwenyewe iweje sasa uanze kuidai bank?? Huyu dada uliempa pesa zako na yy akafanya kinyume na taratibu za kibank ndoa wa kushitaki kama angekuwa ametuma kwa jina lile lile na pesa haikufika kwako hapo ndo ungeshitaki bank husika ila kwa kuwa kakosea yy mwenyewe nenda polis fungua case dhidi ya huyu dada maana ndo anajua ni nani alimtumia pesa maana alifanya kinyume na utaratibu wa kaz yake akaamua kutuma pesa kwa mtu.mwingine ama kwa bahat mbaya au makusudi.....
Acha kukurupuka kama hujuiHii ni personal promblem na sio kosa la bank umempa mtu akuwekee pesa yako akaacha kufanya kama vile taratibu za kibank zinavyoelekeza yeye akafanya anavyojua yy mwenyewe iweje sasa uanze kuidai bank?? Huyu dada uliempa pesa zako na yy akafanya kinyume na taratibu za kibank ndoa wa kushitaki kama angekuwa ametuma kwa jina lile lile na pesa haikufika kwako hapo ndo ungeshitaki bank husika ila kwa kuwa kakosea yy mwenyewe nenda polis fungua case dhidi ya huyu dada maana ndo anajua ni nani alimtumia pesa maana alifanya kinyume na utaratibu wa kaz yake akaamua kutuma pesa kwa mtu.mwingine ama kwa bahat mbaya au makusudi.....
Huyu anayesema ni person problem na siyo kosa la bank nina wasiwasi na uelewa wakeAcha kukurupuka kama hujui
Kesi ya 2016 aende kwa Branch Manager mwaka 2019?!nenda makao makuu strait kwa chief operating oficer peleka madai yako moja kwa moja branch manager hawez saidia maana anajilinda yeye na mtu wake,hili si kosa la mteja hata kidogo wala hatakiwi kuwa sehemu ya kusubiria hiyo kampuni ya simu irudishe bali alipaswa awekewe float upla hiyo hasara waibook