Naomba Msaada kwa wanaojua hii

VUVUZELA

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2010
Messages
3,104
Points
1,195

VUVUZELA

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2010
3,104 1,195
Kati ya BACHELOR Of SCIENCE IN MOLECULAR BIOLOGY AND BIOTECHNOLOGY NA BACHELOR OF SCIENCE IN MICROBIOLOGY NI IPI NZURI?
Inategemea unaishi wapi na unataka kufanya nini na either of the two. Ungekuwa unaishi nchi kama US ningekushauri usome Molecular Biology and Biotech sababu there's a great demand ya watu wa fani hiyo na wanalipa vizuri. Sijajua kwa bongo tuko vipi

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
34,558
Points
2,000

King Kong III

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
34,558 2,000
Kaka kwa bongo hata usome course yenye demand kubwa kama huna channel utasota tuuuu,cha msingi ni channel tu hata ukisoma certificate ya nursery unaweza ukapata kazi serikalini tena ya fedha nyingi tuuuuu....Tatizo sio kozi je una-channel?

Kinyungu

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2008
Messages
7,570
Points
2,000

Kinyungu

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2008
7,570 2,000
Kaka kwa bongo hata usome course yenye demand kubwa kama huna channel utasota tuuuu,cha msingi ni channel tu hata ukisoma certificate ya nursery unaweza ukapata kazi serikalini tena ya fedha nyingi tuuuuu....Tatizo sio kozi je una-channel?

Umenikumbusha sakata la wahadhiri wa UDOM secretary alikuwa analipwa mshahara mkubwa kuliko lecturer mwenye PhD! Bongo bana....

Azimio Jipya

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2007
Messages
3,371
Points
1,195

Azimio Jipya

JF-Expert Member
Joined Nov 27, 2007
3,371 1,195
Kati ya BACHELOR Of SCIENCE IN MOLECULAR BIOLOGY AND BIOTECHNOLOGY NA BACHELOR OF SCIENCE IN MICROBIOLOGY NI IPI NZURI?
. . . Kwanza kabisa its all about you!! Your dream and what you love in your herat ..etc!

. . . Sasa kwa sababu mambo ya dream ..love n heart etc ... yanapitwa na SWALA LA RIZKI KWANZA ...!

. . . Kwa vyote vile Bsc n Molecular Bios & BioTech ...ina anfasi ya Kazi ..Bongo au nje ya bongo..

Infact : Kazi Nyingi za mtu wa Bsc n Microbilogy ... zinaweza kufanywa na mtu aliye na hiyo nyingine...

... Sasa changamkia kitabu!!! Migomo/siasa etc weka kando ... ukimaliza uje hapa ..utuulize wapi kazi and all that!!

King'asti

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2009
Messages
27,682
Points
2,000

King'asti

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2009
27,682 2,000
kama una interest ya utafiti zaidi, hiyo biotech ni nzuri. kwa sababu ni fani inayochipukia huku kwetu,so competition ni ndogo sana. microbiology kuna watu wana certificate hadi phd. so hata nafasi za kusoma ni kazi. jilipue na hiyo biotech uje usaidie wadau hapa,wamechakachuliwa watoto hadi wamekoma,lol

Davis chelsea

Member
Joined
Jul 28, 2011
Messages
93
Points
0

Davis chelsea

Member
Joined Jul 28, 2011
93 0
. . . Kwanza kabisa its all about you!! Your dream and what you love in your herat ..etc!

. . . Sasa kwa sababu mambo ya dream ..love n heart etc ... yanapitwa na SWALA LA RIZKI KWANZA ...!

. . . Kwa vyote vile Bsc n Molecular Bios & BioTech ...ina anfasi ya Kazi ..Bongo au nje ya bongo..

Infact : Kazi Nyingi za mtu wa Bsc n Microbilogy ... zinaweza kufanywa na mtu aliye na hiyo nyingine...

... Sasa changamkia kit nataka niunganishe digree ya pili ili kuwe na uraisi wa ajira

Azimio Jipya

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2007
Messages
3,371
Points
1,195

Azimio Jipya

JF-Expert Member
Joined Nov 27, 2007
3,371 1,195
kama una interest ya utafiti zaidi, hiyo biotech ni nzuri. kwa sababu ni fani inayochipukia huku kwetu,so competition ni ndogo sana. microbiology kuna watu wana certificate hadi phd. so hata nafasi za kusoma ni kazi. jilipue na hiyo biotech uje usaidie wadau hapa,wamechakachuliwa watoto hadi wamekoma,lol
King`A;

You r very right!!

Forum statistics

Threads 1,355,625
Members 518,708
Posts 33,114,179
Top