unakosea kwenye matumizi ya access, kwenye hiyo table hakuna haja ya kuwa na average, weka weight na bags tu, kisha kwenye views ambapo ndio utakuwa una query data zako ndo utachukua hizo values na kuzifanya chochote unachotaka, kwenye database kwa kawaida hakuna haja ya kuhifadhi data ambacho inaweza kuwa calculated na data zengine.
Kama unataka kulazimisha kuweka kwenye table, basi hizo zinaitwa
calculated fields uki google haukosi, unaweza kuona mifano kutoka microsoft
add a calculated field to a table - access - office.com