Bexb JF-Expert Member Joined Oct 24, 2016 Posts 734 Reaction score 1,648 Mar 17, 2024 #1 Habari ya jumapili wakuu. Naomba msaada wa maelekezo toka kwa mtu aliyewahi kusajili mradi chini ya Tanzania Investment Centre (TIC). Ninahitaji kujifunza jambo kwa uhalisia wake hasa katika maandalizi ya nyaraka zinazohitajika.
Habari ya jumapili wakuu. Naomba msaada wa maelekezo toka kwa mtu aliyewahi kusajili mradi chini ya Tanzania Investment Centre (TIC). Ninahitaji kujifunza jambo kwa uhalisia wake hasa katika maandalizi ya nyaraka zinazohitajika.
N NorthFace Senior Member Joined Dec 7, 2022 Posts 101 Reaction score 184 Mar 24, 2024 #2 Nami nasubiri kupata ABCs hapa
Mnyatiaji JF-Expert Member Joined Dec 13, 2018 Posts 3,765 Reaction score 4,869 May 13, 2025 #3 kwahyo wakuu wakaupita huu uzi kimya kimya
Mnyatiaji JF-Expert Member Joined Dec 13, 2018 Posts 3,765 Reaction score 4,869 May 13, 2025 #4 Bexb kiongozi ulifanikiwa?
Bexb JF-Expert Member Joined Oct 24, 2016 Posts 734 Reaction score 1,648 May 15, 2025 Thread starter #5 Mnyatiaji said: Bexb kiongozi ulifanikiwa? Click to expand... Hapana mkuu, niliishia njiani baada ya mwekezaji kubadili mawazo
Mnyatiaji said: Bexb kiongozi ulifanikiwa? Click to expand... Hapana mkuu, niliishia njiani baada ya mwekezaji kubadili mawazo
Newcastle1234 Member Joined Oct 29, 2022 Posts 96 Reaction score 199 May 16, 2025 #6 Bexb said: Hapana mkuu, niliishia njiani baada ya mwekezaji kubadili mawazo Click to expand... Akirudisha mawazo nishtue nikupe mwongozo
Bexb said: Hapana mkuu, niliishia njiani baada ya mwekezaji kubadili mawazo Click to expand... Akirudisha mawazo nishtue nikupe mwongozo
Bexb JF-Expert Member Joined Oct 24, 2016 Posts 734 Reaction score 1,648 May 16, 2025 Thread starter #7 Sg Newcastle1234 said: Akirudisha mawazo nishtue nikupe mwongozohukran sana mkuu, nitakucheki PM ili unipe elimu zaidi Click to expand...
Sg Newcastle1234 said: Akirudisha mawazo nishtue nikupe mwongozohukran sana mkuu, nitakucheki PM ili unipe elimu zaidi Click to expand...