Naomba msaada: Kutumia modem kupiga simu

baina

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Posts
219
Reaction score
60
Wanajamvi shida yangu ni kwamba modem yangu niliichakachua na kuifanya itumie laini zote na zaidi natumia Metfone 3g sofware kukonect. Na kwa bahati nzuri hii soft. ina call feature, ila tatizo ni kwamba nikitaka kupiga simu napata message hii 'NO DEaVICE, CAN NOT CALL', lakini ni kwamba drivers za sauti zimo ktk pc yangu. Nimejaribu kugugo nikakuta maelezo sikuyaelewa na yanaeleza kitu kama 'VoUSB Audio port ...., japo sikumbuki vizuri. Ndugu zangu naomba msaada kutoka kwenu ili niweze kusovu tatizo ili.
 
Unatumia aina gani ya modem? nijuavyo modem zinatofautiana uwezo, kwa mfano hizi ZTE MF190 mtu akikupigia ataambiwa user busy wakati kuna hizi modem za huawei K3565 zenyewe unaongea na mtu vizuri tu..
 
Mkuu Modem Za Zte Ukitumia Metfone Unapiga Simu Vizuri Tuu
 
Mkuu yangu ni zte mf 100, na nintumia metfone. tatizo ninalokutana nalo ni kama nilivyoeleza ktk post yangu. msaada tafadhali. rejea post yangu mkuu.
 
Back
Top Bottom