Naomba msaada kutoka kwa wenye uzoefu na Interview za NBC bank

Miami1234

Member
May 28, 2018
8
3
Wakuu ningependa kupata ufahamu wa watu wenye uzoefu na interview za NBC bank kwa nafasi ya bank officer ambaye ni fresh graduate.

Ningependa kujua wanauliza maswali ya aina gani? Karibuni kuchangia mara natanguliza shukurani.
 
wakuu ningependa kupata ufahamu wa watu wenye uzoefu na interview za NBC bank kwa nafac ya bank officer ambaye ni fresh graduate..ningependa kujua wanauliza maswali ya aina gani?karibun Kuchangia mara natanguliza shukurani.
Kujieleza tu hujui, sasa km interview ya kutype tuchangie unashindwa utaweza tunza pesa zetu... Shukurani badala ya shukrani
 
Kujieleza tu hujui, sasa km interview ya kutype tuchangie unashindwa utaweza tunza pesa zetu... Shukurani badala ya shukrani
Wewe unajua kujibu wenzako mbona wewe hujatimia..... Km maana yake nini?
 
Kama mnajua s mumuelekeze tu tatizo liko wapi

Ni oral au written?

Kama wittten uliwah kufanya field?? Kama jibu ndio utaweza kujibu kulingana na experience ulioipata

Kama oral mambo n hayo hayo tu sema muhim uwe na idea na benk husika au ujib pia kitokana na ujuzi ulokua nao

Kua na confidence

Allah akusimamie
Asante sana
 
Hao NBC wanamfumo wa ajabu kweli, yani mtu kupata Outstanding balance ni ishu nzito. Badilikeni
 
Back
Top Bottom