excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,434
- 17,862
kama ni sehemu bado nipo shallow basi ni excel,ina vikororo vingi sana yani.
mimi au? hahahaaa!
njoo nikufundishe mama, nilifunzwa vizuri sana
kama ni sehemu bado nipo shallow basi ni excel,ina vikororo vingi sana yani.
Nawapongeza wote waliochangia uzi huu bila kejeli wala mizaha .....nimefurahi kusoma comment zinazoonesha watu kuwa tayari kusaidia. Hii ndio faida ya mitandao .....mtu usichojua anajua mwingine hivyo hakuna mjuzi wa kila kitu......safi sana .......
budgeting & financial analysis kaka, thanksIla nadhani kwa jinsi ulivyouliza swali lako.. utapata majibu mengi sn na mengine hayatakusaidia zaidi ya kukuchanganya.
Ingekuwa poa ukasema
nature ya kazi unayokwenda kufanya. Hiyo kitu ni pana sana utapata kizunguzungu bure
mimi au? hahahaaa!
njoo nikufundishe mama, nilifunzwa vizuri sana
yeah man , ts fil good kuona watu wana-try ku help kadri wawezavyo , thank guys, nimeingia u tube kuna tutorial kibao bt bado cjapata mbinu ya ku-download izo video na files
duh hii kitu ni pana sana, t luk lyk naenda kukamatwa
Kwema mkui naomba msaada wako, kwenye hili, jinsi ya kuweka alama ya $ automatically kwenye fomula nimejaribu wapi, kama hutojari mkuu naomba namba yako, tunaeeza kuongea mengi, kwenye stock controlwala siyo pana kwa sisi tunayofanya kazi ni kila siku sidhani km ni ngumu,ni mwaka wa kumi sasa nafanya kazi na hii kitu huwezi nidanganya chochote