Naomba msaada kutoka kwa accountants or auditors | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba msaada kutoka kwa accountants or auditors

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by mwanawao, Jul 18, 2012.

 1. mwanawao

  mwanawao JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2012
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 1,982
  Likes Received: 1,636
  Trophy Points: 280
  Nimepokea message hii kutoka kwa mdau anayelipa hela yangu kwa installment. Sasa kuna kiasi ambacho ameshalipa tayari na kuna kiasi ambacho kimebakia. Leo kaniandikia ujumbe "send to me the total balance due". Hiki ni kiasi ambacho ameshalipa tayari au ni kiasi kilichobakia? Please tusaidiane maana wengine tuling'ang'ania physics hatukuwahi kusoma accounts. Thanks JF.
   
 2. Mnama

  Mnama JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2012
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 1,646
  Likes Received: 356
  Trophy Points: 180
  Mtumie jumla ya kiasi ambacho bado unamdai .
   
 3. mwanawao

  mwanawao JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2012
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 1,982
  Likes Received: 1,636
  Trophy Points: 280
  Ahsante sana mnama.
   
 4. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
  Naamini anataka kujua kiasi ambacho bado unamdai! Mie sio accountant wala auditor.
   
 5. Micha

  Micha JF-Expert Member

  #5
  Jul 18, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 269
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mbona kama haikuhitaji Accountants na Auditors kujua alichoandika hapo? Mimi naona issue hapo ni kiinglish zaidi, yaani mtu yeyote anayejua inglish ataelewa.
  Balance = Salio/kiasi
  Due = kilichofikia muda wa kulipwa/iliyobaki.
   
Loading...