Mgumu04
JF-Expert Member
- Jul 15, 2011
- 1,943
- 1,059
WADAU naombeni msaada wa kimawazo na ufundi pc yangu aina ya dell iliingia maji ikazima nikatoa hard disk na ram nikavikausha na nilivyo vitest kwenye pc nyingine vikawa vinafanya kazi vizuri, na nikawa nimeshauriwa nifungue pc yote na kuisafisha pc yote kwa kutumia BENZIN; nikawa nimefanya hivyo sasa tatizo ni kwamba nikiweka adaptor kwenye power(umeme) adaptor huonesha inapokea moto ila nikiunganisha tu pc na adaptor inazima nawala pc haipokei moto. Kwahiyo basi naombeni msaada wetu wa kiufundi niwezo tengeneza hii pc.