Wakuu naomba msaada juu ya kutatua hili tatizo kwenye Computer yangu

kadunga

Member
May 4, 2020
60
46
kama nilivyo tangulia kusema ndugu zangu naombeni msaada juu ya hii computer

jana nilikuwa nina Install OS (ubuntu) 19.10

sasa baada ya installation nikitoa DVD nikawasha pc ina load tuu na kuandika haya maneno

(Non system disk or disk error replace and trike any key when ready)

PC ni Hp

IMG_20200613_171522_358.jpg
 
HARDISC haina file lolote la OS si window ama ubuntu
HP mara nyingi huwa hivyo chakufanya install window OS kisha rudia tena kuweka Ubuntu ila now usitumie DVD tumia USBbootable

Km window OS haitaisoma hiyo change kutoka GPT to MBR then install tena window Os
Km itakataa HDD basi kuna uwezekano imekufa ila fanya kuanza hizo njia za awali
 
Msaada jamani, ni vitu gani natakiwa kuwa navyo nikitaka kushusha window na kupandisha upya? natumia hp
 
msaada jamani, ni vitu gani natakiwa kuwa navyo nikitaka kushusha window na kupandisha upya? natumia hp
Laptop yako na Flash yenye OS hivyo tuu kiongoz now search google jisni ya kuinstall window
 
Back
Top Bottom