Naomba msaada kushare vodacom modem

Hakikwanza

JF-Expert Member
Dec 11, 2010
4,034
1,003
Jamani wa ndugu mwenye maujuzi jinsi ya kushare modem ya vodacom ili computer 2 zipate internet. Asanteni
 
Hopefully unatumia laptop. Wel hakikisha hizo 2computers zina wireless network adapter. Then nenda ktk laptop ambayo umeconect modem nenda kwenye network connections>create new network then chagua create adhoc cönection. Then utatengeneza jina na password ya characters kama 7 ivi after that turn on network sharing. Voilaa,yo gud 2 go
 
kuna switch inaitwa zyxel switch. kazi yake unaichomeka modem ya usb (tigo , airtel etc) na computer yoyote ile. ambayo ndio unaifanyia comfiguration. utaweza kutumia wired na wireless computer hata kumi. inauzwa kama elfu 80 hhivi. kama unaitaka ni PM
 
Hizo computer zako ni desktop au laptop na zina interface zipi za communication? zinatumia operating system zipi?

alpha1
 
kama una ethernet cable ziunganishe computer zote mbili then kwenye properties za connection yako (pale taskbar notifications icon ya network) chagua sharing alafu tick "allow other users to connect through the computers connection" . kwisha
 
Back
Top Bottom