nimemaliza diploma ya elimu na nina GPA ya 3.6 lakini nashangaa kwenye account yangu wameniandikia you have been rejected from the system reason sijafikisha minimum entry wakat na GPA 3.6 sasa sijui wanataka minimum entry za kiwango gan.

Mkuu sikuelewi hapa. Tunacho ongelea sisi ni kiwango cha GPA kinachotumika kuamua kama mhusika anaweza kuomba na anastahili kufikiriwa kama apate admission (The standard used by TCU) na siyo muombaji aweke GPA ipi (ambayo inatakiwa iwe kwenye Transcript/AVN?).
Hilo tatizo limenipata mimi ila nimelisolve! ni kwamba unaweza ukawa na GPA y 3.6 kwenye cheti lakini matokeo yanayopelekwa nacte yamekosewa umewekewa 2.6 kwa hiyo ukiomba chuo utaonekana una GPA ya 2.6 unachotakiwa kufanya unapaswa urudi chuoni kwako warekebishe hili tatizo haraka kabla ya kuapply tena! usiende nacte maan hawausiki na kuweka matokeo we nenda moja kwa moja chuoni wenyew wanajua jinsi gani ya kukutekebishia
Inabid uelewe wengi huwa wanachanganya kuna gpa ya cheti na gpa ya NTA level 6 Hii ndio diploma GPA na ndio GPA ambayo uki apply kwenye system nacte inatokea , hivyo inawezekana wew mwenyew umeshindwa ku calculate vizuri gpa ,