Habar ndugu zangu,ninatatizo kwanye simu tajwa hapo juu,tatizo lilianza baada ya kui-reset yaani haikamani internet kwa namna yoyote,na ukikonect data inaonesha iko ON ila ile alama ya E ya kuonesha internet hakionekan,na hata bluetooth ukiiwasha inakubal ila ukitaka kupokea/kutuma nyimbo inakataa(NO NEW DEVICE FOUND)kwasasa nashindwa kuperuz mitandao mbalmbal Kila nikijarib kuweka addres/link inakataa na kuandika UNAVAILABLE DATA.kupiga na kupokea haina tatizo,Jaman Mwenye utaalam anisaidie.