Kontelo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 571
- 161
Wadau habari zenu,
Email account yangu ya yahoo niliofungulia account hapa JF imeblock na sina access yoyote ya kufanya kwenye mambo yangu kadhaa niliyotumia kwa account hiyo ya yahoo ikiwemo ht kufanya editing kwenye profile yangu.
Je, kuna njia nyingine yyt naweza kufanya kuweza kuedit profile yangu?
Cc@Invisible miss chagga MziziMkavu Kongosho

Last edited by a moderator: