Naomba msaada kuhusu PDF Files

Naomba msaada kuhusu PDF Files

reandle

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2009
Posts
11,166
Reaction score
8,159
Wadau, nina tatizo na PDF Files! Kila ninapo-open PDF file, huwa inafunguka bila matatizo but within few seconds, adobe inashindwa ku-respond na file ku-close hapo hapo!! Nimeshajaribu ku-uninstall a ku-re install but it doesn't work!

Nimeshajaribu kurudi kwenda kwenye Eula.exe na ku-accept agreement, but still doesn't work as well! Nimebaki hoi... kazi haziendi... mbaya zaidi, jana nimenunua kitabu online nashindwa hata kukifungua! So, anyone anayeweza kunisaidia mautundu...

Thanks in advance.
 
Back
Top Bottom