^kwa wireless inaweza visit thread yangu hii hapa
https://www.jamiiforums.com/tech-ga...-app-ambazo-hutakiwi-kuzikosa-za-symbian.html
kwa hio tablet kua na pc suite haiwezekani maana tablet za android ni kama simu zenye screen kubwa tena baadhi zinazidiwa power na simu so itakua kichekesho tablet kumhudumia simu
^
Hii joiku kwangu haikubali chief me natumia e51 labda unipe msaada wa link boss.
haikubali nini?
Nna jamaa yangu ana e51 nimemuekea inakubali vizuri tu ni wewe ndo umeshindwa kuieka na unaposema imekataa unamaanisha nirudie upya tutorial inabidi uelezee umefanya nini na nini na umekwama wapi
kwa wireless inaweza visit thread yangu hii hapa