Naomba Msaada kuhusu Mpaka wa Tanzania na Rwanda

Adili

JF-Expert Member
Nov 3, 2007
3,138
1,117
Wanajamvi,

Nitashukuru kujua mpaka kati ya Tanzania na Rwanda unapitia wapi hasa. Zamani maziwa magharibi mwa Karagwe tulikuwa tukiyagawana lakini sasa naona yote yamekimbilia Rwanda. Haya marekebisho yalitokea lini?

Hasanteni
 
Back
Top Bottom