Naomba msaada kuhusu kusoma CISCO

Naomba msaada kuhusu kusoma CISCO

Lio 002

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2014
Posts
436
Reaction score
68
Habar wana JF mm nilikuwa na shida ya kufanya mtihani wa cisco kwa hyo nikaamuwa kudownload video za tutorial na kitabu cha ccna kipo complete sasa nilikuwa nahitaji kufahamu nitawezaje kufanya mtihani online nahitaji mnisaidie website na gharama za huo mtihani hadi napata hicho cheti nahitaji kugharamikia kiasi gani?
Napenda luwasilisha ndugu zangu...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom