STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,638
- 16,566
Kama nataka WhatsApp yang isijulikane kama inatumika yaani kumjuulisha mtu anaenipigia kama inatumika (byzy) nifanye kitu gani? Au nifanye setting gani kwenye Whatsap ili asijue kama inatumika wakati nikiongea na mtu mwengine?
Dah! Maana ishakua balaa sasa.
Dah! Maana ishakua balaa sasa.