Naomba msaada kuhusu jambo hili katika WhatsApp

STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
May 31, 2018
4,944
2,000
Kama nataka WhatsApp yang isijulikane kama inatumika yaani kumjuulisha mtu anaenipigia kama inatumika (byzy) nifanye kitu gani? Au nifanye setting gani kwenye Whatsap ili asijue kama inatumika wakati nikiongea na mtu mwengine?

Dah! Maana ishakua balaa sasa.
 

STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
May 31, 2018
4,944
2,000
Official WhatsApp! Hutoweza, maana updated app in late February ilikuja na hiyo njia ya kutoa taarifa kama inatumika.
Mkuu nina Gb whatsap, kama kuna maujanja yoyote nijulishe nifanye haraka asijue kama iko byzy wakati anapiga
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom