Naomba Msaada kuhusu Huawei flasher

MAULA

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
1,056
Reaction score
170
Habari wakuu
Msaada jinsi ya kuflash modem ya huawei airtel
lakini siku hiz nikijaribu kuztumie zile file hususan huawei flasher haiend inaishia kuleta message ya can connect bye.... bye
........

kama icha hii ioneshavyo


nifanyaje ili kuendelea kuitumia huduma hii kama awali
 
MAULA hiyo huawei flasher unayo2mia ilkua ni trial version ambayo xax hv haifany kaz,
download huawei flasher version 1.6 HAPA
Ukiwa na hii huitaj hata kutumia QPST kubackup na kurestore ,,yenyew inauwezo wa kufanya yote hayo.
NB.;bt mar nying hii huawei flasher v1.6 inamatatizo ya kustack((Not responding))
 
Asante
Ingawaje hii vasion ya 1.6 nlikua nayo nliipata baada ya kugugo bat changamoto nlokutana nayo haisomi pot zile moja kwa moja dat y nkaomba msaada.
So hii inabd uedit pot
 
Nimeielewa imekubali asanten wakuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…