hapa pameharibu mkuu, uta run blender za kale tu, kwani core i5 yako ni ya kizamani.Graphic card 3000
Umejuaje kaka kama processor yake ni 2nd generationhapa pameharibu mkuu, uta run blender za kale tu, kwani core i5 yako ni ya kizamani.
blender 2.8 inasupport computer mpya zenye intel graphics subsystem zinazokubali opengl 3.3 nakuendelea na sio chini ya hapo.
kama lugha ni ngumu namaanisha hivi una computer yenye system ya kizamani yaani core i5 yako ni second generation tafuta atleast third generation.
Mimi nina v2.79 sijataka kwenda 2.8 kwa sababu nina hofu kuwa i5 yangu inaweza isimudu. Ni vipi naweza kujua kuwa processor hii ni 2nd gen au 3rd gen?hapa pameharibu mkuu, uta run blender za kale tu, kwani core i5 yako ni ya kizamani.
blender 2.8 inasupport computer mpya zenye intel graphics subsystem zinazokubali opengl 3.3 nakuendelea na sio chini ya hapo.
kama lugha ni ngumu namaanisha hivi una computer yenye system ya kizamani yaani core i5 yako ni second generation tafuta atleast third generation.
unauliza ili ufahamu au unafahamu?Umejuaje kaka kama processor yake ni 2nd generation
Nataka kufahamu mkubwa.unauliza ili ufahamu au unafahamu?
Nataka kufahamu mkubwa.
Ili kufahamu kuwa hii pc au desktop ina procesor ya generation gani kwa njia rahisi washa hiyo computer kisha nenda bonyeza key-pad window + pause kisha system properties itataokea , au kama pc iko online specification za processor zitakuwepo, nakama hazikuandikwa angalia model number ya computer kisha nenda kai search google utaikuta kwenye web ya manufacturer wake kisha angalia kwenye specification zilizowekwa utakutana na neno processor .Mimi nina v2.79 sijataka kwenda 2.8 kwa sababu nina hofu kuwa i5 yangu inaweza isimudu. Ni vipi naweza kujua kuwa processor hii ni 2nd gen au 3rd gen?
Ili kufahamu kuwa hii pc au desktop ina procesor ya generation gani kwa njia rahisi washa hiyo computer kisha nenda bonyeza key-pad window + pause kisha system properties itataokea , au kama pc iko online specification za processor zitakuwepo, nakama hazikuandikwa angalia model number ya computer kisha nenda kai search google utaikuta kwenye web ya manufacturer wake kisha angalia kwenye specification zilizowekwa utakutana na neno processor .
Angalia yafuatayo:
Intel[emoji768] Core[emoji769] Processor i7-10710U hapa processor ni 10th generation tunaangalia number inayofuata baada ya series yaani i7.
Intel[emoji768] Core[emoji769] Processor i9-9900 hapa processor ni 9th generation tunaangalia number inayofuata baada ya series yaani i9.
Intel[emoji768] Core[emoji769] Processor i7-9850H hapa processor ni 9th generation tunaangalia number inayofuata baada ya series yaani i7.
Intel[emoji768] Core[emoji769] Processor i5-8600 hapa processor ni 8th generation tunaangalia number inayofuata baada ya series yaani i5.
Intel[emoji768] Core[emoji769] Processor i3-7350K hapa processor ni 7th generation tunaangalia number inayofuata baada ya series yaani i3.
Intel Core[emoji769] Processor i5-6400T hapa processor ni 6th generation tunaangalia number inayofuata baada ya series yaani i5.
Intel Core[emoji769] Processor i5-2140 hapa processor ni 2th generation tunaangalia number inayofuata baada ya series yaani i5.
Sasa asije kukudanganya mtu hii processor ni core i5 kwa hiyo iko quality hatuaangalii core tu bali tunaangalia na generation ya ngapi.
mfano unweza kuta core i5 inazidiwa perfomance na i3 au i7 inazidiwa na i5 issue sio core tu bali ni generation pia.
kuna kitu kingine ni hiki
Hizi graphics card zenye series hii, intel hd 2000, intel hd 3000 ni za kizamani hazipokei driver mpya kama ilivyo kwa graphics card yenye intel hd 4000.
Lakini pia huwezi kuzikuta ndani ya processor 3rd gen na kuendelea utazikuta kwenye gen ya pili.
Shukran mkuu.Ili kufahamu kuwa hii pc au desktop ina procesor ya generation gani kwa njia rahisi washa hiyo computer kisha nenda bonyeza key-pad window + pause kisha system properties itataokea , au kama pc iko online specification za processor zitakuwepo, nakama hazikuandikwa angalia model number ya computer kisha nenda kai search google utaikuta kwenye web ya manufacturer wake kisha angalia kwenye specification zilizowekwa utakutana na neno processor .
Angalia yafuatayo:
Intel® Core™ Processor i7-10710U hapa processor ni 10th generation tunaangalia number inayofuata baada ya series yaani i7.
Intel® Core™ Processor i9-9900 hapa processor ni 9th generation tunaangalia number inayofuata baada ya series yaani i9.
Intel® Core™ Processor i7-9850H hapa processor ni 9th generation tunaangalia number inayofuata baada ya series yaani i7.
Intel® Core™ Processor i5-8600 hapa processor ni 8th generation tunaangalia number inayofuata baada ya series yaani i5.
Intel® Core™ Processor i3-7350K hapa processor ni 7th generation tunaangalia number inayofuata baada ya series yaani i3.
Intel Core™ Processor i5-6400T hapa processor ni 6th generation tunaangalia number inayofuata baada ya series yaani i5.
Intel Core™ Processor i5-2140 hapa processor ni 2th generation tunaangalia number inayofuata baada ya series yaani i5.
Sasa asije kukudanganya mtu hii processor ni core i5 kwa hiyo iko quality hatuaangalii core tu bali tunaangalia na generation ya ngapi.
mfano unweza kuta core i5 inazidiwa perfomance na i3 au i7 inazidiwa na i5 issue sio core tu bali ni generation pia.
kuna kitu kingine ni hiki
Hizi graphics card zenye series hii, intel hd 2000, intel hd 3000 ni za kizamani hazipokei driver mpya kama ilivyo kwa graphics card yenye intel hd 4000.
Lakini pia huwezi kuzikuta ndani ya processor 3rd gen na kuendelea utazikuta kwenye gen ya pili.
itakubali bila shakaShukran mkuu.
Yangu ni i5-3340M
Na graphics card ni hd 4000
Kumbe naweza kuijaribu v2.8
Je kuna namna yoyote hizi speciations zinaweza kuwa compromised.Kama inawezekana nitajua vipi kuwa speciations zilizoandikwa kwenye hii mashine ni zake kweli.Ili kufahamu kuwa hii pc au desktop ina procesor ya generation gani kwa njia rahisi washa hiyo computer kisha nenda bonyeza key-pad window + pause kisha system properties itataokea , au kama pc iko online specification za processor zitakuwepo, nakama hazikuandikwa angalia model number ya computer kisha nenda kai search google utaikuta kwenye web ya manufacturer wake kisha angalia kwenye specification zilizowekwa utakutana na neno processor .
Angalia yafuatayo:
Intel® Core™ Processor i7-10710U hapa processor ni 10th generation tunaangalia number inayofuata baada ya series yaani i7.
Intel® Core™ Processor i9-9900 hapa processor ni 9th generation tunaangalia number inayofuata baada ya series yaani i9.
Intel® Core™ Processor i7-9850H hapa processor ni 9th generation tunaangalia number inayofuata baada ya series yaani i7.
Intel® Core™ Processor i5-8600 hapa processor ni 8th generation tunaangalia number inayofuata baada ya series yaani i5.
Intel® Core™ Processor i3-7350K hapa processor ni 7th generation tunaangalia number inayofuata baada ya series yaani i3.
Intel Core™ Processor i5-6400T hapa processor ni 6th generation tunaangalia number inayofuata baada ya series yaani i5.
Intel Core™ Processor i5-2140 hapa processor ni 2th generation tunaangalia number inayofuata baada ya series yaani i5.
Sasa asije kukudanganya mtu hii processor ni core i5 kwa hiyo iko quality hatuaangalii core tu bali tunaangalia na generation ya ngapi.
mfano unweza kuta core i5 inazidiwa perfomance na i3 au i7 inazidiwa na i5 issue sio core tu bali ni generation pia.
kuna kitu kingine ni hiki
Hizi graphics card zenye series hii, intel hd 2000, intel hd 3000 ni za kizamani hazipokei driver mpya kama ilivyo kwa graphics card yenye intel hd 4000.
Lakini pia huwezi kuzikuta ndani ya processor 3rd gen na kuendelea utazikuta kwenye gen ya pili.
Ilo neno compromised unamaanisha nini?Je kuna namna yoyote hizi speciations zinaweza kuwa compromised.Kama inawezekana nitajua vipi kuwa speciations zilizoandikwa kwenye hii mashine ni zake kweli.
Sababu umeambiwa Gpu yako haifai usilazimishe, unaweza ukabypass ila ushauri usifanye hivyo maana utabadili jina kutoka Hd 3000 kwenda gpu nzuri lakini still uwezo utakuwa ni ule ule. Tumia tu hio version ya zamani.Wakuu habari, Natumia pc ya miaka ya nyuma hivi, ni Lenovo T420 Core i5, Ram 4GB HDD 320 Graphic card 3000
Nimedownload software ya Blender ila inakataa ku-run inaniambia graphic card haikudhi. Nilichoamua kufanya ni kutafuta blender ya miaka ya nyuma nyuma. Nikaipata Blender Version ya 2.60 ila version ya sasa hivi ni 2.80 ambayo hii ndo inakataa ku-run.
Sasa kwenye hii ya 2.60 ambayo ndo inakubali ku run yenyewe ina MB 89. Swali langu je kuna namna yoyote ya kufanya ili hii version ya sasa ya 2.80 ikarun???. Pia je kwa hii ya 2.60 ni wapi nitapata addons zake?????
Naomba kuwasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
shukrani sana chiefSababu umeambiwa Gpu yako haifai usilazimishe, unaweza ukabypass ila ushauri usifanye hivyo maana utabadili jina kutoka Hd 3000 kwenda gpu nzuri lakini still uwezo utakuwa ni ule ule. Tumia tu hio version ya zamani.
Kwa software za open source plugin zipo kibao kwenye open directories. Changua changua humu
Version zote za blender
Index of /release/
Make human plugin
Index of /makehuman/plugins/
Tumia filechef.com kutafuta plugin husika