Mkuu zimetiwa kufuli tayari. Jana zilikuwa hewani lakini leo scrambled. freguency 12522 h 27499 key 3184752A068163EA
Mkuu zimetiwa kufuli tayari. Jana zilikuwa hewani lakini leo scrambled. freguency 12522 h 27499 key 3184752A068163EA
Hilo linatosha kabisa kikubwa uwe na receiver ya Hd yenye uwezo wa kuedit biss key mfano Qsat. Exmaster n.k.Mkuu hivi natakiwa kutumia dish gani/ukubwa gani kupata hii kitu? Kwa sasa nina dish la 2.5ft,je linaweza kukubali?
Samahani wakuu hizo biss keys zinaingizwa wapi?
receiver yako inaingiza BISS keys?
Kama haujui toa full model ya hiyo receiver yako
Natumia receiver ya Azam TV
hiyo hauwezi kupata huo utamu...
Tafuta Receiver ya Ibox 3030,ibox 4040 au HD box 8080 hapo kariakoo ni kuanzia 100,000/= mpaka 125,000/=
Au tafuta receiver jamii ya wiztech zenye kuingiza keys ni around 80,000/= mpaka 100,000/=
Kuna features zinafanya uwepo wa tofauti wa bei na mahala zinakotoka pia huchangia upungufu wa bei au wingi wa beimpeg4 mbona zina tofauti kubwa ya bei na nyengine
Kuna features zinafanya uwepo wa tofauti wa bei na mahala zinakotoka pia huchangia upungufu wa bei au wingi wa bei
Bidhaa zinazotoka Dubai uwa na unafuu wa bei kulinganisha na zile zinazotoka china au Bidhaa zilizopitishwa majini lazima ziwe na tofauti ya bei na zile zilizopitishwa kwa DHL au Fedex
Ukija kwenye features, Receiver kama QSAT,AZSKY G6 zinazotumia GPRS yaani unaingiza line directly unapata internet ya 2G hapo hapo ina support 3Gmodem,WiFi device,LAN,Youtube,Youporn,IPTV na ina support BISS keys na card sharing protocols,Software upgrade by USB, haiwezi kua bei moja na receiver ya Wiztech 999 ambayo inaingiza BISS keys tu na tundu la ku upgrade software kwa USB
Hivo regardless ni MPEG4 kuna features zinazitofautisha receiver hizi
Sijui kama nimekujibu
Pay TV decoder haziwezi weka illegal protocol kama hizo...Receiver ya dstv hd je?
BISS keys ni Keys ambazo hazibadiliki ndani ya mda mfupi hivo kuwapa nafasi wale watakao zipata kuwezo kuona channel zilizofungwa ambazo labda ilibidi zipatikane kwa njia ya malipo tuSamahani mleta mada na wengine je hizo BISS key ni kwa ajili ya nini?
freguency 12522 h 27499 key 3184752A068163EA. Sorry zimesharudi na zinapiga mzigo kama kawaida nazitazama hapa ,weka hizo key kwa kila chanel na endelea kuenjioi
Mkuu Mimi nina king'zi cha skybox naomba unielekeze namna ya kuingiza hizo keys