Naomba msaada kuhusu Eutelsat@7e

Naomba msaada kuhusu Eutelsat@7e

Natumia hicho king'amz nlikuwa napata dstv channels sasa account imeisha, npeni maelekezo namna ya kuingiza hizo keys.
 
Attachments

  • 1426696899958.jpg
    1426696899958.jpg
    48.7 KB · Views: 155
  • 1426696922159.jpg
    1426696922159.jpg
    71.1 KB · Views: 144
Natumia hicho king'amz nlikuwa napata dstv channels sasa account imeisha, npeni maelekezo namna ya kuingiza hizo keys.

Skybox,Openbox na Dreambox huwa sio childs play kuingiza BISS keys
Mm nina Openbox v8 ila it took me a day kuja kuelewa wanaweka je BISS keys na hii ilikua kwa njia ya Softcam.key/constant.cw
Ila kwa kua ulikua unatumia CCcam nta assume una uelewa kidogo na itakua rahisi kwako

Kwanza tafuta "Conditional access" au "Camd setup" au "CS prtocol" kwenye receiver yako

Ukiona menu moja wapo au mbili zifungue afu nipigie picha ntakujulisha njia gani tutumie
 
I never regret to join JF. thanx mkuu kwa ufafanuz
 
Skybox,Openbox na Dreambox huwa sio childs play kuingiza BISS keys
Mm nina Openbox v8 ila it took me a day kuja kuelewa wanaweka je BISS keys na hii ilikua kwa njia ya Softcam.key/constant.cw
Ila kwa kua ulikua unatumia CCcam nta assume una uelewa kidogo na itakua rahisi kwako

Kwanza tafuta "Conditional access" au "Camd setup" au "CS prtocol" kwenye receiver yako

Ukiona menu moja wapo au mbili zifungue afu nipigie picha ntakujulisha njia gani tutumie
Hiyo hapo npe maujanja
 
Attachments

  • 1426699962272.jpg
    1426699962272.jpg
    59.3 KB · Views: 125
  • 1426699986047.jpg
    1426699986047.jpg
    65.7 KB · Views: 122
  • 1426700007285.jpg
    1426700007285.jpg
    55.2 KB · Views: 119
Hiyo hapo npe maujanja

Mavoko nakusubir

kama nilivokwambia awali sio amateurist game hii:smile-big:
Kwanza kabisa lazima uwe na Dish lilo uelekeo wa Azam kama unataka kuzikamata hizi channel mbili za Beinsports na hii channel ya wakubwa 18+ ya Hustler HD

Ukisha kuwa na Dish uelekeo huo scan channel zako na utaona channel zenye initial ya neno "Feed"

Channel hizo ukijaribu kufungua zitakwambia Scramble channel

Ilikuzifungua itakubidi kuweka BISS keys husika katika hiyo Skybox yako

Hivo fata hatua hizi

1.Fungua Notepad katika computer yako kisha kisha save blank document as All files na usi save as .txt file na jina rename kuwa softcam.key kama hautoweza download softcam.key kutoka HAPA na kisha Unzip
Hakikisha una unzip hili file

2.Kisha fungua file lako la softcam.key kwwa kutumia Notepad++[Google udownload kama hauna]
Uta right click hilo file kisha utachagua edit with Notepad++
Kisha jaza details as shown below
softcamkey.png

3.Save changes kisha litie kwenye flash ambayo haina kitu kwa usalama na ulichomeke kwenye receiver yako kwenye USB port

4.Navigate kwenda Network settings===>Camd setup===>manage configs afu softcam.key na ufute contents za keys utakazo kuta

5.Baada ya hapo nenda USB upgrade kisha Upgrade mode weka misc files
Kisha shuka chini kisha chagua select and upgrade na kisha trace file lako la softcam.key na ulichague
hatua hii ni muhimu sana yakupasa kuwa makini

6.Itakwambia successfull baada ya ku load file kwa ufasaha na baada ya hapo exit ukaangalie channel
 
Mkuu njunwa wamavoko kwenye uelekeo wa Zuku nimescan na kupata SABC1, 2 na 3 ila zipo scrambed, naweza kuzifungua kwa njia gani? biss keys au... natumia azskyg6.
asante
 
Last edited by a moderator:
Mkuu njunwa wamavoko kwenye uelekeo wa Zuku nimescan na kupata SABC1, 2 na 3 ila zipo scrambed, naweza kuzifungua kwa njia gani? biss keys au... natumia azskyg6.
asante
SABC1,2,3 ni channel za Starsat/Startimes
Ziko encyrpted na Conax System na keys zake zina change within few seconds <30secs hivo hamna chance ya kuzifungua mpaka Internet key sharing

Ukipiga OK hizo channel angalia ile OSD utaona kuna alama kama "I" for irdeto "N for Nagra na C" for Conax bila shaka hizo channel zitakua zimeweka C for conax encryption
 
Last edited by a moderator:
Kama haujaelewa BISS keys zinaitajika wakati gani angalia OSD ya hii QSAT mahala nimeweka circle ya Red
B=BISS key encryption

7d8b9a9e905e3b50cdb14a342d3294cb.jpg
 
Back
Top Bottom