Manjeta
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 393
- 239
Wakuu kioo cha simu yangu TECNO P5 kimepasuka baada ya kuanguka wiki kama 3 zilizopita, baada ya kupasuka kikaweka crake(kreki)...na kikawa kinafanya kazi kama kawaida lakini kuanzia jana kikaanaza kuzingua YAANI UKITACHI 'I' inabonyezeka 'Y' namba 6 inabonyezeka 4..namba 5 ndo haitaki kabisaa...yani FULL MVURUGANO...
JE! HIKI KIOO KINAWEZA KUBADILISHIKA AU NDO NIFANYE MPANGO WA KUNUNUA KINGINE?..NA KAMA KINABADILISHIKA GHARAMA YAKE INAWEZA KUFIKA SH.NGAPI?.. ni hilo tu.
JE! HIKI KIOO KINAWEZA KUBADILISHIKA AU NDO NIFANYE MPANGO WA KUNUNUA KINGINE?..NA KAMA KINABADILISHIKA GHARAMA YAKE INAWEZA KUFIKA SH.NGAPI?.. ni hilo tu.