Kayabwe
JF-Expert Member
- Jan 8, 2012
- 402
- 108
Wadau nisaidieni simu yangu aina ya tecno p5 inapoteza network nikienda kijijini.Nikiwa mjini ina access vizuri lakini kijijini haikamati kabisa.Tumejaribu kuset network system lakini wapi.Simu ni mpya nimeinunua kama wiki moja iliyopita.Nisaidie wadau nifanye je??