Msaada wa Kioo cha Tecno

Msaada wa Kioo cha Tecno

Anko Sam

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2010
Posts
3,254
Reaction score
908
Mwenye kioo (screen) cha Tecno Phantom AIII aka M9 ani PM tufanye biashara, nahitaji kwani cha simu yangu kimepasuka.
 
Nenda k/koo msimbaz mkabala na police kuna wakala wa mkubwa wa tecno. tena kama umenunua chini ya miezi 13 Utapata huduma bure. nenda kajaribu
 
Back
Top Bottom