Naomba msaada kidogo wa kifedha, naumwa T.B na mke wangu ni mjamzito

Tuishie apo, usiongee tena na mm hizo mambo.
Wew unaongea mambo ya nchi zingine.
Mimi naongelea TZ
So tuishie hapo mkuu tusikae kubishana wakati wew unajua fika unayoyasema sio ya tanzania niya huko unakokujua wew.
Yellow fever haina chanjo?Sisi huku tunakuwa vaccinated na chanjo ya yellow fever ukiwa unaenda likizo kwenye nnchi ambazo ziko na high risk,najua Tz ni low risk lakini pia ukiwa unaingia Tz kutoka nnchi ambazo ni high risk za yellow fever unahitaji kuonyesha certificate kuwa umepata chanjo ya yellow fever mkuu.Unless Tz iwe imebadilisha huu utaratibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuishie apo, usiongee tena na mm hizo mambo.
Wew unaongea mambo ya nchi zingine.
Mimi naongelea TZ
So tuishie hapo mkuu tusikae kubishana wakati wew unajua fika unayoyasema sio ya tanzania niya huko unakokujua wew.

Sent using Jamii Forums mobile app[
Ukweli ni kuwa hujui kuwa kuna chanjo ya yellow fever.Sio kosa kutokujua ila kujifanya unajua wakati hujui ni kujiabisha tu. .Usipoteshe watu,Tanzania ina Train Madaktari wazuri sana,wanaofanya kazi Tanzania na nnje ya Tanzania.Nina walakini kama wewe ni Medical Doctor.Be Humble Please!!!!!
 
Sasa Daktar, ndugu yangu alifungwa gerezan, na uko akapatwa na TB sababu tu vyumba vile havina hewa ya kutosha na walalo umo ni wengi!!!

Hii imekaaje
Yaaap Gerezani ndio wengi hupata TB hata mm nina ndugu yanguu aliipatia huko na alienda akiwa mzimaaa, kikubwa cha kujua ni kwamba TB inampata mtu mwenye kinga ndogo, nini kimesababisha kinga ndogo ndio uchunguze, Mawazo na stress zilizozidi sana pia hushusha kinga ya mwili, na hiki ni kitu cha kawaida kwa aliyegerezani.
Pia ikumbukwe watu wengi wana vimelea vya TB ila Havipo active km afya yake ni nzuri, ila siku kinga ikishuka tuu vinakua active, hii inaitwa Latent TB na ile mtu akianza kuumwa ni Active TB, na takriban watu billion 2 wana latent TB dunian hasa africa na Asia.
 
Ok tubishane kwa fact.

Hiyo chanjo unayoisema wew nimekwambia haitolewi hapa tanzania na evidence naweza kukupa.
Unacho bisa ni nn?
Unataka mm nijue vitu vyote hadi vya nchi za nje?

Pili
Yellow fever haina chanjo bali ina tiba yake

Wew unajua hiyo yellow fever husababishwa na nn?
Au unakuja tu kuleta vi battle vya kifololo.

Well,Ngoja niachane na wewe kwa Amani.,ila usiwachafulie Jina madaktari wa Tanzania aisee.Kila la heri mkuu.
 
Ok tubishane kwa fact.
Eti umesema Chanjo haitolewi hapa Tanzania,Mbona hapo nyuma umesema hakuna Chanjo ya Homa ya manjano ila kuna tiba tu ya Homa ya Manjano?👿

Back
Top Bottom