Naomba msaada khari tete wadau.

kazi2000

Member
Jan 1, 2012
71
14
Jamani bila shaka mmeamka salama,na wale ambao wameamka wanasumbuliwa na magonjwa mbali mbali nawaombea kwa mungu awaponye haraka.ndugu zangu naombeni msaada wa dawa ya kuacha pombe maana nahis kaka yangu soon atakuwa kichaa,au atafukuzwa kazi au kupoteza maisha.
 
Ndugu yangu pole sana kwa hiyo khali. Angalia sana spelling za maneno watu watashindwa kuchangia kwa sababu hiyo (khari-hali). Naamini kwa wale wenye utaalam wa aina tofauti tofauti watasema japo najua hili suala linahitaji sana hekima ya mtu binafsi hata kama ana aleji. Ushauri wako kwake ni mzuri sana.
 
Back
Top Bottom