Dim Ray JF-Expert Member Dec 15, 2019 318 247 Feb 12, 2020 #1 Jamani naombeni msaada, Laptop ninayotumia nikiiwasha sehemu ya kuweka password haiwezi ku 'input' character zozote, kwahiyo siwezi kuingia na kuitumia. Tatizo hili limeanza leo muda wa saa 12 jioni. Naombeni msaada jinsi ya kulitatua.
Jamani naombeni msaada, Laptop ninayotumia nikiiwasha sehemu ya kuweka password haiwezi ku 'input' character zozote, kwahiyo siwezi kuingia na kuitumia. Tatizo hili limeanza leo muda wa saa 12 jioni. Naombeni msaada jinsi ya kulitatua.
kajamaa kadogo JF-Expert Member Nov 2, 2018 2,186 4,885 Feb 12, 2020 #2 Samahani unaweza kuniambia kwanini umeweka hadi muda (saa) tatizo kuanza unafikili inaweza saidia kitu Tuanze hapo ili nikusaidie ila hutavyokuja vyovyote ntakupokea You"re are welcome
Samahani unaweza kuniambia kwanini umeweka hadi muda (saa) tatizo kuanza unafikili inaweza saidia kitu Tuanze hapo ili nikusaidie ila hutavyokuja vyovyote ntakupokea You"re are welcome
Dim Ray JF-Expert Member Dec 15, 2019 318 247 Feb 12, 2020 Thread starter #3 kajamaa kadogo said: Samahani unaweza kuniambia kwanini umeweka hadi muda (saa) tatizo kuanza unafikili inaweza saidia kitu Tuanze hapo ili nikusaidie ila hutavyokuja vyovyote ntakupokea You"re are welcome Click to expand... Mi nilidhani either ni useful kuelezea whether tatizo limewahi kutokea au la ,ndo mana nika toa mda husika(although si that significant) lakini ni katika kuonyesha kwamba tatizo limetokea leo na kwamba ni kwa mara ya kwanza nime li experience
kajamaa kadogo said: Samahani unaweza kuniambia kwanini umeweka hadi muda (saa) tatizo kuanza unafikili inaweza saidia kitu Tuanze hapo ili nikusaidie ila hutavyokuja vyovyote ntakupokea You"re are welcome Click to expand... Mi nilidhani either ni useful kuelezea whether tatizo limewahi kutokea au la ,ndo mana nika toa mda husika(although si that significant) lakini ni katika kuonyesha kwamba tatizo limetokea leo na kwamba ni kwa mara ya kwanza nime li experience
Chief-Mkwawa Platinum Member May 25, 2011 30,735 39,838 Feb 12, 2020 #4 Tumia on screen keyboard kama mouse/touchpad inafanya kazi. Ipo pembeni hapo icon imekaa yenyewe kama saa ya round hivi
Tumia on screen keyboard kama mouse/touchpad inafanya kazi. Ipo pembeni hapo icon imekaa yenyewe kama saa ya round hivi
Dim Ray JF-Expert Member Dec 15, 2019 318 247 Feb 12, 2020 Thread starter #5 Chief-Mkwawa said: Tumia on screen keyboard kama mouse/touchpad inafanya kazi. Ipo pembeni hapo icon imekaa yenyewe kama saa ya round hivi Click to expand... na penyewe hapafunguki
Chief-Mkwawa said: Tumia on screen keyboard kama mouse/touchpad inafanya kazi. Ipo pembeni hapo icon imekaa yenyewe kama saa ya round hivi Click to expand... na penyewe hapafunguki
kajamaa kadogo JF-Expert Member Nov 2, 2018 2,186 4,885 Feb 12, 2020 #6 Dim Ray said: na penyewe hapafunguki Click to expand... kaka piga chini mzigo Kama itawezekana
Dim Ray JF-Expert Member Dec 15, 2019 318 247 Feb 12, 2020 Thread starter #7 kajamaa kadogo said: kaka piga chini mzigo Kama itawezekana Click to expand... Sawa
Chief-Mkwawa Platinum Member May 25, 2011 30,735 39,838 Feb 12, 2020 #8 Dim Ray said: na penyewe hapafunguki Click to expand... Ingia kwa safe mode, then angalia kama kuna namna unaweza kutoa, system restore ama angalia mambo ya virusi etc.
Dim Ray said: na penyewe hapafunguki Click to expand... Ingia kwa safe mode, then angalia kama kuna namna unaweza kutoa, system restore ama angalia mambo ya virusi etc.
Dim Ray JF-Expert Member Dec 15, 2019 318 247 Feb 12, 2020 Thread starter #9 Chief-Mkwawa said: Ingia kwa safe mode, then angalia kama kuna namna unaweza kutoa, system restore ama angalia mambo ya virusi etc. Click to expand... Sawa
Chief-Mkwawa said: Ingia kwa safe mode, then angalia kama kuna namna unaweza kutoa, system restore ama angalia mambo ya virusi etc. Click to expand... Sawa
Dim Ray JF-Expert Member Dec 15, 2019 318 247 Feb 13, 2020 Thread starter #10 Dim Ray said: Sawa Click to expand... kwenye safe mode inakataa kuingia pia ,nimejaribu kudili na Bios ,imeshindikana option ya mwisho ni kupiga windows
Dim Ray said: Sawa Click to expand... kwenye safe mode inakataa kuingia pia ,nimejaribu kudili na Bios ,imeshindikana option ya mwisho ni kupiga windows