Naomba msaada katika hili suala la kuweka vijiti

bush crazy

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
757
1,020
Jaman poleni na majukumu.

Naomba kujuzwa juu ya swali langu. Kuna mke wa jirani yangu aliweka kijiti mwezi uliopita, ila sasa ameshituka ana ujauzito wa miezi miwili! Je, kuna madhara?
 
Jaman poleni na majukumu.

Naomba kujuzwa juu ya swali langu. Kuna mke wa jirani yangu aliweka kijiti mwezi uliopita, ila sasa ameshituka ana ujauzito wa miezi miwili! Je, kuna madhara?
Yapo makubwa tu,wanaweza kupoteza maisha yeye na Mtoto,awahi akakitoe hicho kijiti .kuna ndugu yetu kidogo tumkose alibadilika mpaka Rangi yeye akawa amejisahau kabisa Baadae sana ndio wanagundua tatizo ni kujiti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwanza kabisa dhumuni kuu la kuweka kijiti ni kuzuia mimba nafikiri lakini bahati mbaya inaonesha aliweka wakati tayari ni mjamzito hapo tusubiri madocta watuambie ni madhara gani kitasababisha kwa mtoto tumboni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaman poleni na majukumu.

Naomba kujuzwa juu ya swali langu. Kuna mke wa jirani yangu aliweka kijiti mwezi uliopita, ila sasa ameshituka ana ujauzito wa miezi miwili! Je, kuna madhara?
Kijiti cha kuzuia uzazi?
 
Back
Top Bottom