Mwanaume wa Shoka
Member
- Feb 15, 2014
- 99
- 17
Mimi natumia huawei y300 naomba kusaidiwa jinsi ya ku transilate kutoka lugha za kingereza kuja kiswahili kwani kunamakala nyingi zipo ktk lugha yakingereza na mm nakosa uhuru wa kuzisoma nategemea ufumbuzi