Naomba msaada jinsi ya Kupanga division na point kwa kutumia excel


K

Kyatsvapi

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2009
Messages
322
Points
225
K

Kyatsvapi

JF-Expert Member
Joined May 15, 2009
322 225
nimeiona mkuu thax alot kwa ushirikiano wako hapa JF
...je summary zote hizo umetumia pivot table au umeingiza formula ??
Nimeziweka kwa formula cos pivot isingeweza kufanya kazi.
 
S

Saikomota

Member
Joined
Apr 19, 2013
Messages
18
Points
45
S

Saikomota

Member
Joined Apr 19, 2013
18 45
Mimi sijaelewa kitu kimoja hapo
je itaconsider penalt kwa mtu aliyefail maths na gs?
Na kingine kwa mtu mwenye zaidi ya masomo 7 itawezaje kuchagua masomo 7 aliyefaulu vizuri ili kupata points na division?
Natanguliza shukrani zangu mkuu
msaada tafadhali Nyasiro
 
Njuka II

Njuka II

Senior Member
Joined
Feb 25, 2019
Messages
109
Points
225
Njuka II

Njuka II

Senior Member
Joined Feb 25, 2019
109 225
Hapo mkuu uluipo anza na formula ya If(and(...then kuanzia logic zinazofuata hazikuhitaji matu,izi mengine ya If..mfano nikama hapa kwenye formula yako;=if(and(A1>=0,A1=21,A1=41,A1
[/COLOR][/B]ilitakiwa kuwa kwamfumo huu..If(and(logic 1),(logic2).......))....Mtazamo wangu huo mwanajamvi
Yupo sahihi, unachosemea wewe ni IFS function na sio IF function, hata kama atatumia IFS ni lazima aweke result ktk kila argument kabla ya kuweka argument nyingine. Mfano
 

Forum statistics

Threads 1,295,911
Members 498,475
Posts 31,227,877
Top