Naomba msaada jinsi ya Kupanga division na point kwa kutumia excel

K

Kyatsvapi

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2009
Messages
322
Points
225
K

Kyatsvapi

JF-Expert Member
Joined May 15, 2009
322 225
Hapo mkuu uluipo anza na formula ya If(and(...then kuanzia logic zinazofuata hazikuhitaji matu,izi mengine ya If..mfano nikama hapa kwenye formula yako;=if(and(A1>=0,A1<=20),"F",if(a nd(A1>=21,A1<=40),"C",if(and(A 1>=41,A1<=60),"B","A"))),

ilitakiwa kuwa kwamfumo huu..If(and(logic 1),(logic2).......))....Mtazamo wangu huo mwanajamvi
Mkuu, unachoongea na nilichoandika vinafanana. Nitatengeneza mfano kwa kutumia formula hii na ya Mwl. RCT ili kuthibitisha ninachokiongea.
 
K

Kyatsvapi

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2009
Messages
322
Points
225
K

Kyatsvapi

JF-Expert Member
Joined May 15, 2009
322 225
Mkuu inaonyesha unaelewa vizuri kuitumia excel,....nami naomba unitoe jinsi ya kupanga position.mfano mwanafunzi 1 hadi wa mwisho kama watakuwa wanafunzi 4000. wanapangwa kulingana na wastan wao.
Mkuu, bila shaka unamaanisha una darasa la wanafunzi 4000 na unataka kuwapanga kuanzia wa 1 hadi wa mwisho na kipimo ni wastani katika masomo yote (mwenye wastani mkubwa atakuwa wa 1 na kuendelea). Kama hivi ndivyo nitakuonyesha katika mfano nitakaoufanya...
 
Ziltan

Ziltan

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Messages
1,411
Points
1,250
Age
36
Ziltan

Ziltan

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2011
1,411 1,250
Hadi sasa nimepiga hatua kubwa sana,karibu nafanikiwa.
Kupitia Jf nimepata mengi sana,
Shukran za dhati kwa Nyasiro,
Mkwawa, Mwl.RCT na wote mliochangia,
Mungu azidi kuwabariki.
Pia JF idumu dawamu.
 
Ziltan

Ziltan

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Messages
1,411
Points
1,250
Age
36
Ziltan

Ziltan

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2011
1,411 1,250
Ndugu wanajamvi, Nimehangaika sana namna ya kuweka Div na Point kwenye matokeo yenye masomo zaid ya 7,
nimecheki ile application ya Nyasiro lakini haina grades mpya za BRN yaan A B+ B C D E F,
naombeni mwongozo ndugu wadau.
Copy kwa Nyasiro, Ighenja,
Samaritan,Mwl RCT, Mkwawa, etal
Karibuni wadau.
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,834
Points
2,000
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,834 2,000
sisi hatuwezi kukusaidia kaka hebu wasiliana na developer mwenyewe ili aifanyie updates
 
N

Nyasiro

Verified Member
Joined
Feb 20, 2012
Messages
1,282
Points
1,225
N

Nyasiro

Verified Member
Joined Feb 20, 2012
1,282 1,225
pole sana mkuu nime ku PM
C6 unaweza merge hii thread na ile ya zamani ya Ziltan
 
Last edited by a moderator:
K

Kyatsvapi

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2009
Messages
322
Points
225
K

Kyatsvapi

JF-Expert Member
Joined May 15, 2009
322 225
Wakuu,

Nimetengeneza simple template ya jinsi ya kutengeneza makundi ya matokeo kama ambavyo Ziltan aliuliza.

Unaweza kuidownload tempate hizo mwisho wa reply hii.

Pia kuna mdau Michosho aliuliza namna ya kupanga nafasi za wanafunzi darasani kwa kutumia wastani wa masomo yote.

Jinsi ya kutumia; weka matokeo halisi na copy formulas.

Tafadhali wasilisha mrejesho kama itakuwa imekusaidia au laa.Barikiwa.
 
Attachments:

K

Kyatsvapi

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2009
Messages
322
Points
225
K

Kyatsvapi

JF-Expert Member
Joined May 15, 2009
322 225
Version ya excel 97-20013 kwa wenye office ya zamani.Barikiwa.[/QUOTE]
 
Attachments:

Bavaria

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Messages
45,687
Points
2,000
Bavaria

Bavaria

JF-Expert Member
Joined Jun 14, 2011
45,687 2,000
Tumia youtube kujifunza vitu. Inasaidia sana.
 
michosho

michosho

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2012
Messages
492
Points
500
Age
7
michosho

michosho

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2012
492 500
Wakuu,

Nimetengeneza simple template ya jinsi ya kutengeneza makundi ya matokeo kama ambavyo Ziltan aliuliza.

Unaweza kuidownload tempate hizo mwisho wa reply hii.

Pia kuna mdau Michosho aliuliza namna ya kupanga nafasi za wanafunzi darasani kwa kutumia wastani wa masomo yote.

Jinsi ya kutumia; weka matokeo halisi na copy formulas.

Tafadhali wasilisha mrejesho kama itakuwa imekusaidia au laa.Barikiwa.
mkuu mpaka hapo..baada ya kudownload hyo tamplate yako ..sijaeelewa...coz mm nahitaji kupanga mtoto wa- kwanza hadi wa mshisho kwa kufuata wastani wao...na katika huo wasta utakuta kuna wale walio lingana...mfano watoto watano mamegongana kwa wastani wa 80..wengine sita wastani wa 30..sasa katika kupanga position hiyo formula... imenitoa..na niko na watoto 4645... msaada tafadhari.
 
K

Kyatsvapi

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2009
Messages
322
Points
225
K

Kyatsvapi

JF-Expert Member
Joined May 15, 2009
322 225
mkuu mpaka hapo..baada ya kudownload hyo tamplate yako ..sijaeelewa...coz mm nahitaji kupanga mtoto wa- kwanza hadi wa mshisho kwa kufuata wastani wao...na katika huo wasta utakuta kuna wale walio lingana...mfano watoto watano mamegongana kwa wastani wa 80..wengine sita wastani wa 30..sasa katika kupanga position hiyo formula... imenitoa..na niko na watoto 4645... msaada tafadhari.
Mkuu Michosho,

Heshima mbele.

Hiyo workbook ina worksheet 2 moja ni jinsi ya kuweka madaraja na nyingine ni namna ya kupanga matokea kwa kutumia wastani (Worksheet hii imeandikwa kupanga position kwa wastani).

Kwenye hii worksheet;
Column E mpaka N ni alama za watoto 4,645 kwa kila somo.
Column O ni wastani wa kila somo kwa kila mwanafunzi.
Column P ni nafasi ya mwananfunzi darasani kufuatana na wastani aliopata kwa masomo yote. kwa wale ambao wamefungana, wamekuwa nafasi moja. Mfano wanafunzi waliopata wastani wa 77.20. Wanafunzi wote waliopata wastani unaofanana nimewawekea rangi ya njano.

Tafadhali idownload tena hapa chini ili uone wanafunzi wako wote 4,645.

Pia uliza maswali kama bado hujaelewa. Waweza pia kuniPM namba yako nami nitakupigia ili nikuelekeze zaidi.

Barikiwa.
 
Attachments:

michosho

michosho

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2012
Messages
492
Points
500
Age
7
michosho

michosho

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2012
492 500
Mkuu Michosho,

Heshima mbele.

Hiyo workbook ina worksheet 2 moja ni jinsi ya kuweka madaraja na nyingine ni namna ya kupanga matokea kwa kutumia wastani (Worksheet hii imeandikwa kupanga position kwa wastani).

Kwenye hii worksheet;
Column E mpaka N ni alama za watoto 4,645 kwa kila somo.
Column O ni wastani wa kila somo kwa kila mwanafunzi.
Column P ni nafasi ya mwananfunzi darasani kufuatana na wastani aliopata kwa masomo yote. kwa wale ambao wamefungana, wamekuwa nafasi moja. Mfano wanafunzi waliopata wastani wa 77.20. Wanafunzi wote waliopata wastani unaofanana nimewawekea rangi ya njano.

Tafadhali idownload tena hapa chini ili uone wanafunzi wako wote 4,645.

Pia uliza maswali kama bado hujaelewa. Waweza pia kuniPM namba yako nami nitakupigia ili nikuelekeze zaidi.

Barikiwa.
MKUU Kyatsvapi
mpaka nashukuru sana kozi nimepata mwanga..ila sasa nieleze vzuri
katika hii formula(=RANK(O14,$O$8:$O$4652) HAPO KWENYE REDI....NISAIDIE HIYO HAITAJI MADABILIKO AU??
coz nimejalibu kwenye kazi yangu kwa kuweka hivi (=RANK(Q2,$Q$8:$Q$4652) JIBU ILO NILETEA NI HIVI #N/A
PLS ..MSAADA MKUU..
 
Last edited by a moderator:
K

Kyatsvapi

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2009
Messages
322
Points
225
K

Kyatsvapi

JF-Expert Member
Joined May 15, 2009
322 225
MKUU Kyatsvapi
mpaka nashukuru sana kozi nimepata mwanga..ila sasa nieleze vzuri
katika hii formula(=RANK(O14,$O$8:$O$4652) HAPO KWENYE REDI....NISAIDIE HIYO HAITAJI MADABILIKO AU??
coz nimejalibu kwenye kazi yangu kwa kuweka hivi (=RANK(Q2,$Q$8:$Q$4652) JIBU ILO NILETEA NI HIVI #N/A
PLS ..MSAADA MKUU..
Mkuu,

Nashukuru kwa mrejesho.
Hiyo formula ya Rank(), inaangalia matokeo fulani ambayo ni 'specific' toka katika orodha yote ya matokeo.
Mfano unataka kuweka nafasi ya mwanafunzi X (ana wastani wa 20.6 kwa mfano) toa katika matokeo ya wanafunzi 4,000. Idadi ya wanafunzi hawa 4,000 haiwezi kubadilika. Itakuwa 'constant'. Kitakachbadilika ni mwanafunzi unayetaka kujua nafasi yake darasani. Hii ndiyo maana unaweka alama za dola ($) kwenye formula yako ili hiyo range ya cells isibadilike kama hivi; $O$8:$O$4652. Kwa nini O8 (Ndipo range yako inaanzia) na pia O4652 (Ndipo range yako inapoishia). Utakachotafuta nje ya range hii lazima utapata 'error' message sababu majibu hayo hayapo.

Kwenye formula yako =RANK(Q2,$Q$8:$Q$4652) unapata error sababu kilichopo kwenye cell Q2 hakipo kwenye range yako ya $Q$8:$Q$4652. Sababu range inaanzia Q8, basi lazima cell ya kuanzia iwe >=Q8.

Jaribu kufanya hivi;
1. Range yako anzia Q2 na kuendelea. Au
2. Anza kuweka formula yako ukianzia Q8. Mfano;=RANK(Q8,$Q$8:$Q$4652).

Tafadhali usiache kurudisha mrejesho.

Barikiwa.
 
michosho

michosho

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2012
Messages
492
Points
500
Age
7
michosho

michosho

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2012
492 500
mkuu..ngoja..nitaku-pm nikisha jaribu tena kurekebisha ...mpaka hapo umenisaidia sana..
 
michosho

michosho

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2012
Messages
492
Points
500
Age
7
michosho

michosho

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2012
492 500
Mkuu, Nashukuru kwa mrejesho. Hiyo formula ya Rank(), inaangalia matokeo fulani ambayo ni 'specific' toka katika orodha yote ya matokeo. Mfano unataka kuweka nafasi ya mwanafunzi X (ana wastani wa 20.6 kwa mfano) toa katika matokeo ya wanafunzi 4,000. Idadi ya wanafunzi hawa 4,000 haiwezi kubadilika. Itakuwa 'constant'. Kitakachbadilika ni mwanafunzi unayetaka kujua nafasi yake darasani. Hii ndiyo maana unaweka alama za dola ($) kwenye formula yako ili hiyo range ya cells isibadilike kama hivi; $O$8:$O$4652. Kwa nini O8 (Ndipo range yako inaanzia) na pia O4652 (Ndipo range yako inapoishia). Utakachotafuta nje ya range hii lazima utapata 'error' message sababu majibu hayo hayapo. Kwenye formula yako =RANK(Q2,$Q$8:$Q$4652) unapata error sababu kilichopo kwenye cell Q2 hakipo kwenye range yako ya $Q$8:$Q$4652. Sababu range inaanzia Q8, basi lazima cell ya kuanzia iwe >=Q8. Jaribu kufanya hivi; 1. Range yako anzia Q2 na kuendelea. Au 2. Anza kuweka formula yako ukianzia Q8. Mfano;=RANK(Q8,$Q$8:$Q$4652). Tafadhali usiache kurudisha mrejesho. Barikiwa.
mkuu kwa kweli sina cha kusema ...kazi yangu imekuwa rahisi zaidi kwa msaada wako kupitia JF..BE BLESSED ..kitu kimekubali baada ya kuweka range ya hiyo ya =RANK(Q2,$Q$2:$Q$4652)..aiiseee thanks sana.. naomba unisaidie kitu kingine..nahitaji kuweka summary ya matokeo ..kwa mfano shule ya kwanza hadi ya mwisho kwa kuangalia kigezo cha wastani wa shule...pili summary ya matokeo kwa kuangalia A,B.....F ni ngapi? pia kwa kutenganisha..niishie hapo..mengine baadae.. NAENDELE KUTOA SHUKURUANI ZANGU ZA DHATI KWAKO MKUU Kyatsvapi; KWA KUNISAIDIA MKUU HESHIMA KWAKO Kyatsvapi;
 
K

Kyatsvapi

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2009
Messages
322
Points
225
K

Kyatsvapi

JF-Expert Member
Joined May 15, 2009
322 225
@ michosho; Nashukuru kwa mrejesho na pia nimefurahi coz umepata ulichokuwa unahitaji.
Kuhusu maswali yako nitaifanya kesho asubuhi kwa kutumia kazi ileile ili ieleweke vizuri. Summary ya kazi yako inafanyika kwa kutumia pivot table.
 
Ziltan

Ziltan

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Messages
1,411
Points
1,250
Age
36
Ziltan

Ziltan

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2011
1,411 1,250
Wakuu,

Nimetengeneza simple template ya jinsi ya kutengeneza makundi ya matokeo kama ambavyo Ziltan aliuliza.

Unaweza kuidownload tempate hizo mwisho wa reply hii.

Pia kuna mdau Michosho aliuliza namna ya kupanga nafasi za wanafunzi darasani kwa kutumia wastani wa masomo yote.

Jinsi ya kutumia; weka matokeo halisi na copy formulas.

Tafadhali wasilisha mrejesho kama itakuwa imekusaidia au laa.Barikiwa.

Kyatsvapi,
ubarikiwe kwa moyo wa kusaidia Mkuu,
ngoja niipitie ntaleta majibu
 
Last edited by a moderator:
K

Kyatsvapi

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2009
Messages
322
Points
225
K

Kyatsvapi

JF-Expert Member
Joined May 15, 2009
322 225
@ michosho; Nashukuru kwa mrejesho na pia nimefurahi coz umepata ulichokuwa unahitaji.
Kuhusu maswali yako nitaifanya kesho asubuhi kwa kutumia kazi ileile ili ieleweke vizuri. Summary ya kazi yako inafanyika kwa kutumia pivot table.
@ Michosho;

Mkuu icheki hiyo template hapo chini.
 
Attachments:

michosho

michosho

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2012
Messages
492
Points
500
Age
7
michosho

michosho

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2012
492 500
@ Michosho;

Mkuu icheki hiyo template hapo chini.
nimeiona mkuu thax alot kwa ushirikiano wako hapa JF
...je summary zote hizo umetumia pivot table au umeingiza formula ??
 
Forum statistics

Threads 1,295,923
Members 498,479
Posts 31,228,329
Top