Naomba msaada jinsi ya Kuomba kusoma degree ukiwa na certificate

adinag

Member
May 13, 2014
87
11
Wakuu,

Wale wenye principal pass moja na wakasoma certificate mwaka mmoja na wameomba kujiunga degree kupitia TCU. Je, vikwazo gani mmepata wakati mkiapply? Nataka nami nilipie but ningependa kufahamu taratibu, ni special kwa wale walioapply na wale wenye uelewa na hili.
 
soma diploma kupitia hyo certificate ili uje usome degree au rudia pepa. ila usijaribu tcu utawapa tu hyo pesa yako bure
 
Inauma mimi nimesoma diploma ya journalism toka 'London School of Journalism' kwa njia ya masafa. Nimetumia miezi.9 kumaliza lakini NACTE wamei.grade kama 'certificate' chuo gani watanipokea hapa bongo. I'm confused!
 
Back
Top Bottom