Naomba msaada jinsi ya kufungua mafile kwenye simu

Naomba msaada jinsi ya kufungua mafile kwenye simu

daniel danya

Member
Joined
Aug 21, 2014
Posts
71
Reaction score
2
Nashindwa kufungua file ambazo nimedownload kama matangazo hivi, vitabu cjajua kwa nn naombeni msaada.

Mfano file ambalo lipo katka systm ya PDF nikidownload cwezi fungua plz nifanyaje?
 
Nafurahi kuwa wa kwanza kukusaidia ,tatizo hilo limenitesa kwa mda mrefu saana .

Nenda Google play .

Download kitu kinaitwa .

WPS Office.

Utafungua file lolote unalotaka.
 
Nafurahi kuwa wa kwanza kukusaidia ,tatizo hilo limenitesa kwa mda mrefu saana .

Nenda Google play .

Download kitu kinaitwa .

WPS Office.

Utafungua file lolote unalotaka.

Thankx kaka ngoja nijaribu
 
Au tafuta file play store linaitwa Adobe reader litakusaidia sana.
Karibu.
 
Back
Top Bottom