Naomba msaada jinsi ya kufungua iPOD ikiwa Disabled

Naomba msaada jinsi ya kufungua iPOD ikiwa Disabled

Joyandy

New Member
Joined
Sep 8, 2012
Posts
4
Reaction score
0
Naomba mnisaidie jinsi ya kufanya kuweza kufungua iPOD ambayo imekuwa disabled please.
 
Vp inaonekana kwenye computer ukiichomeka. Kama ndio basi tatizo lako ntakusaidia. Nijulishe hilo kwanza.
Naomba mnisaidie jinsi ya kufanya kuweza kufungua iPOD ambayo imekuwa disabled please.



Sent from my BlackBerry 9930 using JamiiForums
 
unataka kuifungua vipi?

nafikiri kwanza ange eleza ni disabled kivp, ni aina gani ya ipod, na mengineo.
maswali watu wavyouliza humu ndani.. tsk tsk tsk
 
leh yeah wanauliza maswali bila details zozote za muhimu sasa inakuwa ngumu kujua tatizoespecially kifaa chenyewe hatukioni hapa
 
Last edited by a moderator:
Yes brother Baraka ukiichomeka kwenye computer inasoma lakin kwenye screen inaonesha ''ipod dissabled connect to itunes'' ni Apple ipod
 
haha haha
ipod.jpg
its easy hata mm yangu imentokea mara kbao! Fanya hivi! kwanza uwe na latest itunes then uwe na internet yenye speed! Nakushaur uwe na voda au ttcl

1 chomeka kebo kwenye pc ! I pod usiichomeke
2 zma ipod yako ! Then skilia i pod yako kwa sekunde kumi then chomeka cable then itatokea hivi
4364802035_627266ed3a_o.jpg
au inaweza kuwa tofaut kdogo kutegemea na ios yako

Then hapo kwenye pc itakupa maelezo click yes then restore ipod
itunes_syncing20100901.png


hapo itunes itaanza ku download software for restore your i pod your done!

Pia ukipenda hyo hatua ya ku hold home buton unaweza hold buton ya kuzima na home kwa pa1 then baki umeshkilia mpaka ikuwekee hyo alama ya cable na cd au alama i tunes ! Itategemea version ya ios yako!

Pia pitia na vdeos
hiii hapa
na hiii
 
Pole kwa kuchelewa kukujibu ila msaada wa mkubwa juu hapo umejitosheleza. Fuata na itakua poa! Ikigoma PM me ntakusaidia physically. Usijali hutolipia ni msaada tu ntakupa.
 
Thanks alot waungwana it works 100%...God bless you kwa msaada wenu
 
Back
Top Bottom