Niliinstall window 7 sasa baada ya siku 30 pc yangu ikaniletea black screen na kuna sms inaniambia window is not genuin. Nikapata hyo application kwa ajili ya activation tatizo linakuja hapa kila nikijaribu kuinstall inanigomea kabisa labda kuna njia nyingine kama kuna mtu anaifahamu